Tufunge mjadala: Mobhare Matinyi vs Salim Kikeke nani alistahili kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

Ranger9

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
1,506
2,782
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).

na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?

Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine

ALAMSIKI💤💤
 
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile)...
Una ushahidi gani Kikeke alikuwa anangoja hiyo nafasi?
 
Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile
Mbona mnapenda ku exaggerate watu kiasi hiki, utashangaa ana under perform ilihali mlimsifia weeee. Mliwahi msifia sana Kipilimba ooh TISS sijui nini wakati vitambulisho vya NIDA tu alifeli kusambaza, unabaki unajiuliza lipi wanaloweza hawa mnaowaita vipanga?
 
C'mon zitto kazi ya Kipilimba haikuwa kusambaza National ID cards.

Ilikuwa ni kazi ya Maimu ambae aliingia Wapigaji FC.
 
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile) ...

na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali???

Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine

ALAMSIKI💤💤
Matinyi na Kikeke?

Ila kiuzoefu ndani na nje ya nchi Matinyi ana "experience" ya kutosha na alichelewa kupewa hiyo nafasi.

Na hata huko nje tayari wamesikia juu ya uteuzi wake kupitia SyndiGate na Txtreport.com

Cha msingi kuangalia aiweka vipi taswira ya nchi huko nje.

MAELEZO kazi yake kuwa ni kufafanua sera, maamuzi na ajenda za serikali zieleweke na si kuonekana ushapewa karatasi au gazeti na watu wakusubiri ulisome.
 
C'mon zitto kazi ya Kipilimba haikuwa kusambaza National ID cards.

Ilikuwa ni kazi ya Maimu ambae aliingia Wapigaji FC.
NIDA ni moja ya taasisi zinazo under perform zaidi Tanzania. Sasa kitendo cha jasusi mkuu kufanya kazi NIDA na hakusaidia lolote unadhani kuna faida gani ya kuwasifia hawa majasusi kuwa ni vipanga kama they can't make basic contributions.
 
Huyo kikeke alivyo na mambo ya kitoto hivyo ndio apewe nafasi nyeti hivyo?afu ni kama ameanza kuchanganyikiwa flani hivi
Hiyo nafasi ina unyeti gani kulinganisha na utangazi kwenye shirika kubwa kama BBC?

Nadhani usemaji wa ikulu kila mtanzania mwenye uwezo wa kuzungumza anaweza kupewa! Muhimu ni kufuata maelekezo!

Kwani msigwa alikuwa na maajabu gani zaidi ya kufanya ziara za mikoani na kuita waandishi wa habari? Alichoeleza ni kilekile kinasemwa na mawaziri na watendaji wengine!
 
NIDA ni moja ya taasisi zinazo under perform zaidi Tanzania. Sasa kitendo cha jasusi mkuu kufanya kazi NIDA na hakusaidia lolote unadhani kuna faida gani ya kuwasifia hawa majasusi kuwa ni vipanga kama they can't make basic contributions.
Nnavyofahamu mimi ni kwamba yule mzee pale NIDA alikwenda kwa kazi ingine na si ilokusudiwa.
 
Hiyo nafasi ina unyeti gani kulinganisha na utangazi kwenye shirika kubwa kama BBC?

Nadhani usemaji wa ikulu kila mtanzania mwenye uwezo wa kuzungumza anaweza kupewa! Muhimu ni kufuata maelekezo!

Kwani msigwa alikuwa na maajabu gani zaidi ya kufanya ziara za mikoani na kuita waandishi wa habari? Alichoeleza ni kilekile kinasemwa na mawaziri na watendaji wengine!
C'mon Lanlady huwezi kuwa msemaji wa serikali bila sifa maalum yaani kwamba hata foreign media utaweza kuwajibu ipasavyo na si kubahatisha.

Hapa angalau kidoogo raisi Samia amepatia kwa kumteua Matinyi.

Matinyi "is a good guy and a very confident person" na atatengeneza uzuuri taswira ya serikali na pia kuwatengeneza na kuwaweka sawa waandishi wetu wa habari ambao kuna wakti huuliza masuali yaso na maana.

Ukiuliza masuali ya maana basi utaenda kuandika habari ambayo itaeleweka uzuri kwa wasomaji wa magazeti au watazamaji wa "telly".

Kuzungumza si wote twazungumza hata hapa JF?

Utangazaji na kuwa msemaji wa serikali ni vitu viwili tofauti.

Angalia CV ya jamaa hapo chini:

Kisha lete CV ya Salim Kikeke.

Experience​

  • Lecturer

    Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations​

    Oct 2013 - Present 10 years 1 month Analyst, Columnist

    VoA, BBC, RFI, The Citizen, Majira​

    May 2003 - Sep 201310 years 5 months
    International affairs, Tanzanian and American issues, etc.

  • Instructor

    United States Foreign Service Institute​

    Feb 2008 - May 20135 years 4 months
    Washington DC

  • Consultant

    Foreign service and educational instititions​

    Oct 2003 - May 20139 years 8 months
  • Marketing executive, bank manager

    Corporate America (various)​

    Oct 2003 - Jan 20084 years 4 months
    Washington D.C. Metro Area

  • Chief Editor

    Business Times Limited​

    Jun 1998 - May 20035 years
    Dar es Salaam, Tanzania
    Editor June 1998 - Jan 2000
  • Instructor

    Tanzania School of Journalism​

    Jan 2002 - May 20025 months
    Dar es Salaam

  • Journalist

    Business Times Limited​

    Nov 1993 - Oct 19952 years
    Dar es Salaam, Tanzania

    CV Source: LinkedIn.
 
Back
Top Bottom