Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Sagini ashiriki katika Mkutano wa 74 wa Kamati Tendaji ya UNHCR unaofanyika Geneva

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,663
11,678
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Kaimu Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva, Balozi Hoyce Temu na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi wakishiriki na kufuatilia Mkutano wa 74 wa Kamati Tendaji ya UNHCR unaofanyika Geneva - Uswisi, leo Oktoba 9, 2023.

Mkutano huo wa siku5 ulioanza leo huku ukishirikisha wajumbe toka nchi mbalimbali una lengo la kujadili maswala mbalimbali ambapo utahitimishwa Oktoba 13, 2023.
2ad7bb1e-1e02-40ac-8593-2c41f1717e51.jpeg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom