Waziri na Mbunge mstaafu mh Anna Tibaijuka amewashukuru Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa kusimama Imara kwenye mkataba wa Bandari
Prof Tibaijuka amesema hakuna Udini Kwenye mkataba wa Bandari...
Msemo huu RAIS SAMIA ameunena katika maadhimisho ya miaka 60 ya KKKT ya Sherehe hizo zilizofamyika Tengeru -Jijini Arusha.
Ikumbukwe kwamba ni wazi kuwa msemo huu huwa unasemwa na (MTU MCHA...
Tatizo la Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni uongozi mbaya. Uongozi mbaya umesababisha udumavu wa kila nyanja ambayo ingeleta maendeleo ya Taifa.
Uongozi mbaya kwa Taifa letu zaidi upo katika...
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi...
"Na mkataba huu unasema, 'Na njia za uchukuzi'. Sasa nyie watu wa shinyanga, njia za uchukuzi maana yake nini kama si barabara na reli?"
"Wamesubiri tunakaribia kumaliza ujenzi wa reli ya kisasa...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais mh Simbachawene amewataka Watanzania kupuuza Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa nchini Dubai
Simbachawene amesema wanaosambaza habari kwamba Ndege ya...
Hongera Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa kwa kuchaguliwa mara ya pili (lkn kwa awamu ya 3 ya utumishi) kuwa Kiongozi kwy huduma ya Mkuu wa KKKT Tz.
Nadhani kuimarisha kazi ya huduma shambani...
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki...
Ushiriki wa Rais Samian Suluhu Hassan na kutoa hotuba katika mkutano wa Kimataifa wa BRICS uliofanyika mini Johannesburg, Afrika Kusini, umewaibua wachumi wamesema ambao mkutano huo una tija kubwa...
HISTORIA YA MATAIFA YA AFRICA BAADA YA RAIS KUFIA MADARAKANI NA MAKAMU WAKE KUSHIKA NAFASI??
Mwaka 2010 aliyekuwa Rais wa Nigeria wakati huo hayati Umaru Musa Yar'Adua alifariki akiwa madarakani...
Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.
Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna...
Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali...
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan...
Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu?
Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo...
Nimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.
Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza...
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa...
Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe.
Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa...
Salaam,
Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.
Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila...
Nawiwa kuweka hapa kumbukumbu za wote waliotetea na kupinga kwa nguvu zote uuzwaji wa bandari. Majina yao yakiwa hapa yatasaidia waandishi wa vitabu na makala kwa siku zijazo kupata refference na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.