Tanzania iliona mbali kukimbilia misaada Uarabuni sababu Wazungu wameshavurugwa misaada yao itakuwa migumu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Nchi za Afrika ambazo Bajeti Zao zinategemea Misaada ya Wazungu zitapata shida sana kwani Mifumo mbalimbali ya Dunia inabadilika kufuatia Vita kuu mbili zinazoendelea

Ni Heri Viongozi Wetu walistuka mapema na kuimarisha mahusiano na Waarabu kwani huko Ndio kwenye tumaini la Misaada kulikobaki

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
 
Waarabu wanatoa misaada gani?

Au Tende na ujenzi wa misikiti?

Waarabu wanamijihela 😅🙏🙏 Au ??!
 
UWT akili zenu mnazijua mwenyewe, hao waraabu wako kwenye budget kuu wamechangia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom