Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
9A7B7A35-1D95-463C-8436-94E1836304A5.jpeg

Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?

Mwenye CV yake tunaiomba!

======

Update:

Hussein Masoro ndani ya TISS:

Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)

Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.

Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).

Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.

Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).

Nje ya TISS:

Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
 
Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?

Mwenye CV yake tunaiomba!

B0C2C3EE-87F7-4AB8-97CE-A5AE95819E16.jpeg

Hussein Masoro ndani ya TISS:

Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)

Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.

Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).

Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.

Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).

Nje ya TISS:

Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
 
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Hizo nchi zingine ulizotaja huwa wanaongozwa na nani na wanaripoti kwa nani?
 
Said Hussein Massoro ndio Jasusi namba moja Tanzania kwasasa.

Sisi wananchi wazalendo, hatumjui kwa undani. Sio mbaya tukamjua maana JamiiForums ni pana sana, sio mbaya mkatujuza.

NB:
Sio vibaya kumjua, maana mtangulizi wake tulimjua kuwa alikuwa Polisi, RAS Kagera, Bosi Takukuru nk
 
Back
Top Bottom