Inafedhehesha na kutia Aibu kuona Katibu mkuu mstaafu wa TEC, Dkt. Slaa Anaongozwa na kuendeshwa na Mdude Nyagali

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,270
9,716
Ndugu zangu Watanzania,

Ni jambo la kufikirisha sana, ni jambo la kufedhehesha na kutia aibu sana ukimfikiria Dr. Slaa na historia yake ndani ya kanisa, siasa, na serikalini. Dr. Slaa amewahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, cheo ambacho kwa sasa kinashikiliwa na Dr. Kitima. Embu Mtanzania mwenzangu jiulize, hivi inaingia akilini kweli mtu aina ya Dkt. Slaa aliyekuwa anaitwa na vijana kuwa rais wa mioyo leo hii anaweza kuendeshwa na mtu aina ya mdude aliyekosa adabu, staha, na heshima?

Hivi kweli leo Dr. Kitima anayeshikilia nafasi aliyokuwa nayo Dr. Slaa anaweza kuongozwa na kuendeshwa na Mdude Nyagali? Anaweza kuandaa na kupanga mipango na mikakati na Mdude? Inawezekana hii kweli? Dr. Slaa ambaye amewahi kuwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini leo ni wakuongozwa na kuendeshwa na Mdude? Mtu anayeonekana kukosa malezi ya wazazi wake na kutokuwa timamu kichwani?

Hivi Dr. Slaa nini kinamsumbua katika fikira zake na akilini kwa sasa? Nini kimemuathiri? Hivi kweli mtu alishika hadi ubalozi nafasi ya heshima kabisa, lakini leo hii anaambatana na mtu kama Mdude mropokaji, aliyezibuka akili, mkurupukaji, na aliyekosa akili ya kibinadamu? Nini kimepelekea mpaka Dr. Slaa leo hii akimbiwe na watu wote wenye akili na heshima katika jamii? Kwanini haungwi mkono hata na wale aliofanya nao kazi? Kwanini kundi lake limebaki pale pale la watu wasiofika hata kumi tena wenye taswira mbaya katika jamii na wanaodharaulika mbele ya macho ya Watanzania?

Dr. Slaa haoni aibu kweli? Haoni watu wanamshangaa? Haoni haya kweli? Kwa umri wake, Dr. Slaa anaona ni sawa kweli? Heshima yote aliyokuwa nayo imeporomoka kama barafu juani? Vijana tu hawapo tayari kuambatana wala kushirikiana na Mdude kutokana na tabia yake chafu, mbaya, na mbovu isiyokubalika katika jamii iliyostaarabika.

Dr. Slaa ajiulize, kwanini kikundi chake hakiongezeki? Kwanini vyama vya siasa haviungi mkono madai yao? Kwanini wamebakia walewale tangu awali? Kwanini hapewi nguvu na wananchi au wanachama wa vyama vingine vya upinzani? Kwanini viongozi wa upinzani hawana habari naye na hawahitaji ukaribu naye? Kwa akili ya kawaida, ni kuwa Dr. Slaa amebaki mwenyewe kwa kuwa amepoteza heshima yake katika jamii, haaminiki tena, amewakosea Watanzania wote na serikali yao na taifa lao. Ndio maana ameachwa mpweke abakie na Mdude wake asiyejitambua wala kujielewa, ndio maana hakuna aliye nyuma yake, ndio maana hapewi nguvu na Watanzania wala kuungwa mkono zaidi ya kutazamwa tu. Huwezi ukaambatana na mvuta bangi halafu utegemee wenye akili wakuunge mkono. Hakuna aliyetayari kusikiliza maneno machafu kutoka kwa mdomo mchafu wa Mdude.

Ushauri kwa Dr. Slaa ni kuwa atulie na kutuliza akili, akae na wenye hekima na busara, abakie kama wazee wenzake ambao kukiwa na jambo wanataka kutoa mawazo yao au kukosoa, unaona wakitoka hadharani kwa lugha za staha, hekima na busara ya hali ya juu sana yenye uzalendo ndani yake, mpaka jamii nzima inabaki inajadili wiki nzima hotuba husika. Kwa sasa Dr. Slaa anajidhalilisha tu na kujipoteza mwenyewe. Hayupo mwenye akili timamu wa kumuunga mkono Dr. Slaa na Mdude Nyagali wake, hayupo, hayupo, na hatakuwepo.

Dr. Slaa atizame nyuma ili aangalie ni nani mwenye hekima na kuheshimika mbele za Watanzania, yupo nyuma yake? Akiona hayupo, ajiulize kwanini watu wote wenye heshima ndani ya jamii hawapo naye.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Achana na mambo ya watu, ongea mambo ya chama chako,

Umeona Leo katibu mkuu amepewa anywe maji ambayo hawez hata kuoshea miguu?

Hizo ndio hoja uje na majibu yake because hao watu wanalipa Kodi zao Kwa huduma Bora ya maji

Achana na wakina mdude na Dr slaa ambao wao wanapambana Kwa jasho Lao na sio kula Kodi zetu
 
Achana na mambo ya watu, ongea mambo ya chama chako,

Umeona Leo katibu mkuu amepewa anywe maji ambayo hawez hata kuoshea miguu...
CCM Ni chama Sikivu na ndio maana kwa imani kubwa waliyonayo wananchi kwa chama na serikali ya CCM walipata matumani makubwa walipomuona katibu mkuu wa CCM.

Na kweli Changamoto yao imesikilizwa na kutolewa maagizo mazito sana kwa viongozi na watendaji wa serikali ili kumaliza changamoto ya maji na kuhakikisha wananchi haraka sana iwezekanavyo wanapata maji safi na salama.
 
Mbona wewe unawaendesha Viongozi wa muhimili wa pili?

Mjengo 😂😂
Bunge letu linaongozwa na spika wetu Dr Tulia Dada wa Taifa,Nembo ya wana Mbeya,fahari ya nyanda za juu kusini, mzalendo na mchapa kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge kwa weledi wa hali ya juu sana ambao haujapata kutokea ndani ya bunge letu na ambao umepelekea Dunia kumhitaji ili akaongoze umoja wa mabunge Duniani kama Rais wake.
 
Hiyo aibu ni ndogo sana. Aibu ya karne ni mtu aliyepata sifuri form six kuwaongoza maprofesa huko CHADEMA.
😄😄😄Ngoja aje hapa Erythrocyte atupatie majibu vizuri juu ya mwenye kigoda wake.

Erythrocyte popote ulipo njoo ujibu swali huku
 
CCM Ni chama Sikivu na ndio maana kwa imani kubwa waliyonayo wananchi kwa chama na serikali ya CCM walipata matumani makubwa walipomuona katibu mkuu wa CCM. Na kweli Changamoto yao imesikilizwa na kutolewa maagizo mazito sana kwa viongozi na watendaji wa serikali ili kumaliza changamoto ya maji na kuhakikisha wananchi haraka sana iwezekanavyo wanapata maji safi na salama.

Ha ha ha ha 🤣😂😂

Then Huna Sababu ya kuuliza why Dr slaa haoni aibu

I think wale wanainchi wakisoma hiki ulichoandika unaweza kupigwa mawe ufe

Nadhan ulichoandika kina Aibu zaidi ya mambo anayofanya Dr slaaa
 
Polisi,mtu wenu huyu hapa,amrjitanabaisha kua anao ushahidi kua Mdude anavuta bangi,hebu mshikilieni na ikiwezekana apelekwe mahakamani,akathibitishe pasi na shaka,kua Mdude huvuta.
 
Ha ha ha ha 🤣😂😂

Then Huna Sababu ya kuuliza why Dr slaa haoni aibu

I think wale wanainchi wakisoma hiki ulichoandika unaweza kupigwa mawe ufe

Nadhan ulichoandika kina Aibu zaidi ya mambo anayofanya Dr slaaa
Wananchi wale wameridhika na hatua za katibu mkuu wetu na kinachosubiriwa kwa sasa ni utekelezaji wa maagizo yake
 
Polisi,mtu wenu huyu hapa,amrjitanabaisha kua anao ushahidi kua Mdude anavuta bangi,hebu mshikilieni na ikiwezekana apelekwe mahakamani,akathibitishe pasi na shaka,kua Mdude huvuta.
Unaandika halafu umejificha kwenye fake ID .siyo wote waoga kama wewe.
 
Huyo mzee ana historia ya usaliti kote alikopita, kamsaliti mpaka mung8 wa kanisa katoliki.
kaisaliti ccm, kaisaliti ccbart, kasaliti mradi wa hospitali ya moyo, pesa akawa analia bata na yule mke wa mtu aliyemsaliti ndoa yake. Akawasaliti kina zito.

kamsaliti mshumbusi, dah mama huyo kagunduwa kumbe mzee ni waleeeee, huu usaliti wa hali ya juu.

Kina mdudu na mwambulukuku zamu yao ya kusalitiwa imewadia. Wala haina muda.
 
Polisi,mtu wenu huyu hapa,amrjitanabaisha kua anao ushahidi kua Mdude anavuta bangi,hebu mshikilieni na ikiwezekana apelekwe mahakamani,akathibitishe pasi na shaka,kua Mdude huvuta.
mdudu na bangi kama cocobeach na baharini, haviachani, siyo mdudu tu, hata mwambulukuku.
 
Wewe polisi hawawezi kuwa na shida nawewe,ila Mwashamba,kwasababu ID ni yake yeye na namba ya simu kaiweka,polisi watakua hawajamtendea haki,wasipomuita ili awasaidie katika upelelezi,ili Mdude afikishwe mahakamani kwa kosa la matumizi ya madawa ya kulevya.Namba ya simu ipo kabisa,polisi waache uzembe,mtu hadi kuandika jambo kama hilo,hakika anao ushahidi usiokua na shaka juu ya Mdude.
 
CCM Ni chama Sikivu na ndio maana kwa imani kubwa waliyonayo wananchi kwa chama na serikali ya CCM walipata matumani makubwa walipomuona katibu mkuu wa CCM. Na kweli Changamoto yao imesikilizwa na kutolewa maagizo mazito sana kwa viongozi na watendaji wa serikali ili kumaliza changamoto ya maji na kuhakikisha wananchi haraka sana iwezekanavyo wanapata maji safi na salama.

Ha ha ha ha 🤣😂😂

Then Huna Sababu ya kuuliza why Dr slaa haoni aibu

I think wale wanainchi wakisoma hiki ulichoandika unaweza kupigwa mawe ufe

Nadhan ulichoandika kina Aibu zaidi ya mambo anayofanya Dr slaaa
Wananchi wale wameridhika na hatua za katibu mkuu wetu na kinachosubiriwa kwa sasa ni utekelezaji wa maagizo yake


Yale mahojiano umeyasikia vizuri?

Hitimisho lao umelisikia na kulielewa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni jambo la kufikirisha sana, ni jambo la kufedhehesha na kutia aibu sana ukimfikiria Dr Slaa na historia yake ndani ya kanisa, siasa na serikalini. Dr Slaa amewahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki Tanzania ,Cheo ambacho kwa sasa kinashikiliwa na Dr kitima. Embu Mtanzania mwenzangu jiulize hivi inaingia akilini kweli mtu aina ya Dkt Slaa aliyekuwa anaitwa na vijana kuwa Rais wa mioyo leo hii anaweza kuendeshwa na mtu aina ya mdude aliyekosa adabu,staha na heshima?

Hivi kweli Leo Dr Kitima anayeshikilia nafasi aliyokuwa nayo Dr Slaa anaweza kuongozwa na kuendeshwa na Mdude Nyagali? Anaweza kuandaa na kupanga mipango na mikakati na Mdude? Inawezekana hii kweli? Dr Slaa ambaye amewahi kuwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini leo ni wakuongozwa na kuendeshwa na Mdude? Mtu anayeonekana kukosa malezi ya wazazi wake na kutokuwa Timamu kichwani?

Hivi Dr Slaa Nini kinamsumbua katika fikira zake na akilini kwa sasa? Nini kimemuathiri? Hivi kweli mtu alishika hadi ubalozi nafasi ya heshima kabisa lakini leo hii anaambatana na mtu kama Mdude mropokaji,aliyezibuka akili,mkurupukaji na aliyekosa akili ya kibinadamu? Nini kimepelekea mpaka Dr Slaa leo hii akimbiwe na watu wote wenye akili na heshima katika jamii? Kwanini haungwi mkono hata na wale aliofanya nao kazi? Kwanini kundi lake limebaki pale pale la watu wasio fika hata kumi tena wenye Taswira mbaya katika jamii na wanaodharaulika mbele ya macho ya watanzania?

Dr Slaa haoni aibu kweli? Haoni watu wanamshangaa? Haoni haya kweli? Kwa umri wake Dr Slaa anaona ni sawa kweli? Heshima yote aliyokuwa nayo imeporomoka kama barafu Juani? Vijana tu hawapo Tayari kuambatana wala kushirikiana na Mdude kutokana na Tabia yake chafu,mbaya na mbovu isiyokubalika katika jamii iliyostaarabika.

Dr Slaa ajiulize Kwanini kikundi chake hakiongezeki? Kwanini vyama vya siasa haviungi mkono madai yao? Kwanini wamebakia walewale tangia awali? Kwanini hapewi nguvu na wananchi au wanachama wa vyama vingine vya upinzani? Kwanini viongozi wa upinzani hawana habari naye na hawahitaji ukaribu naye? Kwa akili ya kawaida ni kuwa Dr Slaa amebaki mwenyewe kwa kuwa amepoteza heshima yake katika jamii, haaminiki tena,amewakosea watanzania wote na serikali yao na Taifa lao.Ndio maana ameachwa mpweke abakie na Mdude wake asiyejitambua wala kujielewa,ndio maana hakuna aliye nyuma yake,ndio maana hapewi nguvu na watanzania wala kuungwa mkono zaidi ya kutazamwa tu. Huwezi ukaambatana na mvuta bangi halafu utegemee wenye akili wakuunge mkono.Hakuna aliyetayali kusikiliza maneno machafu kutoka kwa mdomo mchafu wa Mdude.

Ushauri kwa Dr Slaa Ni kuwa atulie na kutuliza akili.akae na wenye hekima na busara.abakie kama wazee wenzake ambao kukiwa na jambo wanataka kutoa mawazo yao au kukosoa unaona wakitoka hadharani kwa lugha za staha, hekima na busara ya hali ya juu sana yenye uzalendo ndani yake mpaka jamii nzima inabaki inajadili wiki nzima hotuba husika. Kwa sasa Dr Slaa anajidhalilisha tu na kujipoteza mwenyewe. Hayupo mwenye akili Timamu wa kumuunga mkono Dr Slaa na Mdude nyagali wake ,Hayupo hayupo na hatakuwepo.

Dr Slaa atizame nyuma ili Aangalie ni nani mwenye hekima na kuheshimika mbele za watanzania yupo nyuma yake? Akiona hayupo ajiulize kwanini watu wote wenye heshima ndani ya jamii hawapo naye?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jamaa unajua sana kuandika na kujenga hoja
 
Back
Top Bottom