johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,518
- 147,342
Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!