Kama hii ni kweli, nchi inahitaji maombi kuliko wakati wowote ule

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Maskini Tanzania! Nchi iliyokuwa inategemewa kwa kuwa na watu intellectual sio Afrika tuu bali hata duniani imegeuka kuwa ya hovyo kiasi hiki?

Basi viongozi wa dini, wa kikabila hata wananchi mmoja mmoja tufunge na kuiombea nchi yetu na ujinga ulio tamalaki wa viongozi wetu, serikali na hiki chama tuitacho chama tawala.

Haiwezekani eti kiongozi wa juu anagharamiwa ziara ughaibuni eti anaongozana na ujumbe wa watu wa aina hii ya waigizaji kwa gharama zetu bila kuwa na tija.

Wanaomshauri huyu mama ni wa hovyo na kuna mashaka pia kwa huyo mshauriwa.

IMG-20231010-WA0022.jpg
 
View attachment 2777741
Nilijua kuna kupatwa kwa Jua na Mwezi tu, kumbe hata Nchi inapatwaga
 
Maskini Tanzania! Nchi iliyokuwa inategemewa kwa kuwa na watu intellectual sio Afrika tuu bali hata duniani imegeuka kuwa ya hovyo kiasi hiki?

Basi viongozi wa dini, wa kikabila hata wananchi mmoja mmoja tufunge na kuiombea nchi yetu na ujinga ulio tamalaki wa viongozi wetu, serikali na hiki chama tuitacho chama tawala.

Haiwezekani eti kiongozi wa juu anagharamiwa ziara ughaibuni eti anaongozana na ujumbe wa watu wa aina hii ya waigizaji kwa gharama zetu bila kuwa na tija.

Wanaomshauri huyu mama ni wa hovyo na kuna mashaka pia kwa huyo mshauriwa.

View attachment 2777741

Sijakuelewa unataka kusema nini?
 
OMG.
 
Back
Top Bottom