Kumbe Msajili wa Vyama vya Siasa ana Kazi kubwa sana ya kuchunguza Vyama na Malengo yao kamili!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,990
142,007
Awali nilikuwa naichukulia kiurahisi sana ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Kumbe Msajili wa Vyama vya Siasa ana Kazi kubwa sana ya kuchunguza Vyama vya Siasa na Malengo yao kamili

Unaweza kudhani unasajili CHAMA cha Siasa kumbe ni Kikundi cha Wahuni wenye Malengo tofauti kabisa

Mungu wa mbinguni mbariki Jaji Mutungi

Mlale Unono 😀
 
Mlale Unono
Chama chakavu kimejaa wauaji greenguard msajili nae kada wa ccm
 
Awali nilikuwa naichukulia kiurahisi sana ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Kumbe Msajili wa Vyama vya Siasa ana Kazi kubwa sana ya kuchunguza Vyama vya Siasa na Malengo yao kamili

Unaweza kudhani unasajili CHAMA cha Siasa kumbe ni Kikundi cha Wahuni wenye Malengo tofauti kabisa

Mungu wa mbinguni mbariki Jaji Mutungi

Mlale Unono 😀
Hakuna Chama wanafanyiana uhuni kama ccm. Mafia!
 
Back
Top Bottom