Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika ni jambo la kushangaza sana Kwa Serikaki ya CCM kuogopa kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Kwa madai eti sio kipau mbele wakati Mh.Kikwete alitumia kodi za wanyonge kupata Katiba Mpya.
Kinachonishangaza ni Serikali hiyo hiyo ya CCM inatumia kodi za wanyonge kubadili Katiba ya wachache wanachama wa CCM.
Swali langu Serikali ya CCM hebu rudisheni mchakato wa Katiba ya watanzania milioni 50 .acheni kuwa wabinafsi Kwa wanaccm Milioni 6.Kodi za watanzania zitumike Kwa wote