Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Katibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa maeneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.