Kama Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu, Wakili Mwabukusi ni nani hata aseme " Bila Katiba mpya no Uchaguzi"?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini.

Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi.

Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?

Mlale Unono 😃
 
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini

Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi

Mlale Unono

Vyama vina wenyeviti na viongozi wao. Mwabukusi ni mwanaharakati mzuri tu, probably ana maono mazuri but in the long run hana power yet
 
Mimi nashangaa Samia anafanya kampeni ya mabango kutoka 2021 wakati anajua polisi,wanajeshi na walimu ndio wanaoiba uchaguzi hizo fedha ni za nini!
 
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini

Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi

Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?

Mlale Unono
Mhhh kama ni kweli basi ngoja nirudi shambani
 
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini
Wanaweza kushiriki, lakini wasitulilie baada ya matokeo.

Kauli aliyotoa samia kuwa mchengerwa ana kifua kuhimili kivumbi kitakachotimka mwakani should serve as a wake-up call.
 
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini

Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi

Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?

Mlale Unono 😃
Jamaa wameamua kumtolea mbavuni!
 
Asikukoseshe usingizi huyu sisimizi kutoka Kandete wilaya ya Busokelo. Ana trend kwa matamko kadhaa ili ajenge relevance kwa uchaguzi wa 2025
 
Chadema wao wanafukuzia ruzuku tu ila wanajua vizuri ushindi wao ni hisani kutoka ccm watu tushachoka kila jimbo analoshinda mpinzani lazima zitokee vurugu
 
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini

Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi

Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?

Mlale Unono 😃
Ni mpuuzi mmja tuu huyo Mwambukusi
 
Chadema wao wanafukuzia ruzuku tu ila wanajua vizuri ushindi wao ni hisani kutoka ccm watu tushachoka kila jimbo analoshinda mpinzani lazima zitokee vurugu
Unadhani Suluhu ni Nini??

Hao kina Mwabukusi wanasema Katiba ni lazima ipatikane kwa kuilazimisha CCM iruhusu kupatikana kwa Katiba mpya.

Pia hiyo ni vurugu. Maisha yamejaa vurugu usiogope!!
 
Yani ACT wazalendo? Hawa ni tawi la CCM hawana ubavu kupinga hata wakisema uchaguzi unafanyika bila tume wao watashiriki, kwasababu wanafuata CCM inachowaambia. Walipopewa Deal la kumpokea Maalim seif Zanzibar lazima waonyeshe shukrani zao kwa CCM.
Zanzibar ule ulikuwa mchezo, walipinga kwa kila namna Maalim asijiunge Chadema badala yake wakamsogezea ACT.
Ruzuku ya Zanzibar inamtosha Zitto na wenzake kuishi vyema.
Usifananishe ACT na Chadema.
Pili kuhusu dai la katiba mpya au tume huru ya uchaguzi siyo dai la Mwabukusi. na ukumbuke mwabukusi mpaka sasa hana chama, chama kapokonywa na Serikali, Kapewa selasini mbunge wa chadema aliyeondolewa kwa uasi.
Mwabukusi anapaswa kushauriwa aachane na Dr.slaa. Sauti ya watanzania itamuharibia ndoto zake.
Ajiunge Chadema aendeleze harakati zake.
 
Back
Top Bottom