Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
292
505
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi.

Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima cha maji ambacho kitakuwa kikitumia umeme kwa manufaa ya wananchi wa eneo hilo.

"Ndugu zangu niwahakikishie, Mhe. Rais Dkt. Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," alisema Dkt. Biteko.

Aidha, amewaagiza TANESCO na REA kuhakikisha Vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na umeme kuhakikisha vinawekewa huduma hiyo muhimu kwa haraka.

Awali akizungumza kabla ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule aliishukuru TANESCO na REA kwa kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huo ya kuhakikisha umeme unapatikana pamoja na usimamizi mzuri wa fedha za miradi ya wilaya hiyo zinazotolewa na Mhe. Rais Samia.

Alisema mahitaji ya umeme kwa Mkoa wa Dodoma ni makubwa na kumekuwa na ongezeko la viwanda na shughuli za kiuchumi hivyo ni vema taasisi hizi zikafanya kazi kwa pamoja ili kuleta maendeleo kwa wanachi

Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mhe. Job Ndugai ameikumbusha REA kupeleka umeme kwa wakati katika maeneo mengine ambayo bado hayajafikiwa na nishati hiyo hususan vitongoji vya Chinangali, Chamwino na Manzese na kuwataka TANESCO na REA kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hiyo ya umeme.

Ana pambania tumbo lake na familia yake wale vizuri na kuishi vizuri sisi maskini ametusahau kabisa tunakaa bila umeme na maji mna tuona manyani mnatuongezea bei za data
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi.

Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima cha maji ambacho kitakuwa kikitumia umeme kwa manufaa ya wananchi wa eneo hilo.

"Ndugu zangu niwahakikishie, Mhe. Rais Dkt. Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," alisema Dkt. Biteko.

Aidha, amewaagiza TANESCO na REA kuhakikisha Vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na umeme kuhakikisha vinawekewa huduma hiyo muhimu kwa haraka.

Awali akizungumza kabla ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule aliishukuru TANESCO na REA kwa kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huo ya kuhakikisha umeme unapatikana pamoja na usimamizi mzuri wa fedha za miradi ya wilaya hiyo zinazotolewa na Mhe. Rais Samia.

Alisema mahitaji ya umeme kwa Mkoa wa Dodoma ni makubwa na kumekuwa na ongezeko la viwanda na shughuli za kiuchumi hivyo ni vema taasisi hizi zikafanya kazi kwa pamoja ili kuleta maendeleo kwa wanachi

Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mhe. Job Ndugai ameikumbusha REA kupeleka umeme kwa wakati katika maeneo mengine ambayo bado hayajafikiwa na nishati hiyo hususan vitongoji vya Chinangali, Chamwino na Manzese na kuwataka TANESCO na REA kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hiyo ya umeme.
View attachment 2780880
Watu wanakaa juani yeye anakaa kwenye gari ya gharama kabisa na mwanywa wake kama tundu la choo
 
Una uhakika mimi ni maskini kama wee ambae ni maskini hadi wa akili na mwili yaani umechagua kuwa chawa na kupe ivi hauoni aibu utakuja kukalia kidole🖕🖕 mda si mrefu chawa wa mama
Wewe ni maskini wa akili na Mali uzuri umejitanabaisha na sifa nyingine ya maskini ni ulalamishi na chuki binafsi.

Wewe endea.kuwa maskini
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi.

Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima cha maji ambacho kitakuwa kikitumia umeme kwa manufaa ya wananchi wa eneo hilo.

"Ndugu zangu niwahakikishie, Mhe. Rais Dkt. Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," alisema Dkt. Biteko.

Aidha, amewaagiza TANESCO na REA kuhakikisha Vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na umeme kuhakikisha vinawekewa huduma hiyo muhimu kwa haraka.

Awali akizungumza kabla ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule aliishukuru TANESCO na REA kwa kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huo ya kuhakikisha umeme unapatikana pamoja na usimamizi mzuri wa fedha za miradi ya wilaya hiyo zinazotolewa na Mhe. Rais Samia.

Alisema mahitaji ya umeme kwa Mkoa wa Dodoma ni makubwa na kumekuwa na ongezeko la viwanda na shughuli za kiuchumi hivyo ni vema taasisi hizi zikafanya kazi kwa pamoja ili kuleta maendeleo kwa wanachi

Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mhe. Job Ndugai ameikumbusha REA kupeleka umeme kwa wakati katika maeneo mengine ambayo bado hayajafikiwa na nishati hiyo hususan vitongoji vya Chinangali, Chamwino na Manzese na kuwataka TANESCO na REA kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hiyo ya umeme.
View attachment 2780880
Kizazi Cha UCHAWA
 
Una uhakika mimi ni kama wewe punga wew umechagua kuwa shoga baki na ushoga wako na uchawa wako wwe chawa wa mama wew ni shoga na ukiendelea kupiga makelel hapa ntakupa pesa ukanunue pampasi
6742970da5.jpg
 
Back
Top Bottom