TANESCO ndiyo wenye nguvu za giza

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote.

Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu.

Tunapopambana na nguvu za giza tusisite kupambana TANESCO iondokane na nguvu za giza tuweze kurejea kwenye nuru ambapo huko hakuna umaskini bali utajiri.

Tanzania isipoondokana na nguvu za giza ni vigumu kupata maendeleo. Mataifa yote yaliyoendelea yaliyojikwamua kutoka mikononi mwa nguvu za giza. Kwenye giza kuna ushirikina while kwenye nuru kuna roho wa Mungu.

Nguvu za giza zilizopo TANESCO zinaweza kuchangiwa na moja kati ya haya;
1. Rasilimali watu mbovu
2.Miradi mibovu ya kisiasa na kujineemesha vigogo
3. Mikakati mibovu
4. Kukosekana kwa consistence miongoni wa watawala nk

Ashukuriwe JPM kwa kudhamiria kuondoa nguvu za giza TANESCO; tusipokubali kwamba aliweza tunapambana kuvuruga mazuri yake na hizi ndizo kazi za nguvu za giza kuteka fahamu za watu na kupinga mambo chanya kwa umma
 
Unataka kusema wana nguvu za kishetani
 
Mie nimemisi yale masongi yao wakiwa wanaweka nguzo mtaani,,,..... Uma la m..... Lina maji maji maji maji
 
Back
Top Bottom