CHADEMA Wameamka Ileje asubuhi na hali ile ile. Je, huku nako vipi?

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Jana chadema walizua taharuki kubwa mitandao kwa kumtuhumu Mkuu wa wilaya ya Momba Mhe. Kenani kihongosi kwa kuwahujumu mkutano wao na mpaka wakashtaki kwa Askofu Mwamakula wao na yeye akaenda mbali mpaka kuandika Waraka wa wazi kwa Rais Samia.

Leo Asubuhi kwa ratiba yao walipanga kuanza mkutano saa 3 Asubuhi eneo la Isogole wilaya ya ileje na hali haikuwa nziri kwa uwingi wa watu na kusogeza mbele mpaka saa 5 na saa 6.

Swali hapa ni je Chadema wanahujumiwa au ni wao tu kukosa mvuto wa kisiasa nchini?

Mbowe, hizi picha sisi tunakusaidia ili uweze kujipanga vizuri na vijana wako, nahisi kama hamjui mnajulikana mitandao sana kuliko kwa watanzania na ni kwasababu hamna hoja za kuzungumza na watu.

034af023-4a28-4d58-96a2-891e7003cce5.jpg

39bf873c-9858-4ea4-b1f5-69bb61c42454.jpg

4b43acc0-2d3d-41fd-8b87-bb3072f4e405.jpg
 
Back
Top Bottom