Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023.
Washiriki wanajumuisha...
Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kwenye hoja zake za Ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2020/2021;
- Miongoni mwa hoja alizotoa ni madai au mapunjo ya wananchi wa Kipawa...
Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama...
Kipekee sana nimpongeze Waziri wa Elimu Prof Mkenda na timu yake kwa kusimamia mchakato na hatimaye kutuletea Mtaala mpya
Mtaala unaoondolewa umetuzalishia Chawa wa kutosha akina Mwijaku, Zitto...
Arusha, Tanzania
ITIFAKI YA UFUNGUZI YABADILISHWA DAKIKA ZA MWISHO
Tanzania mwenyeji wa mkutano wa 77 wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu, waziri Dr. Pindi Chana ametangaza...
Team,
Salaam!
Nimeona video moja ya Naibu Waziri anayehudumia akitokea mkoa wa Kagera akiwa ktk mkutano amepiga magoti na kuanza kutoa hotuba huku akilia machozi kama mtoto mdogo.
Sasa...
Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru.
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira...
Tuwe Wakweli hata kama Chadema na CCM huiba kura nyakati fulani fulani lakini CCM Wana jitihada kubwa kwenye kampeni za mapema na za uchaguzini
Watia nia Wengi wa CCM wameanza kampeni kitambo...
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na...
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya...
Utanganyika na uzanzibari imeanza kusikika, wenye mamlaka nao wamekaa kimya hawataki kukemea ubaguzi huu unaoendelea nchini.
Tulishaungana tangu 1964, hakuna serikali ya TANGANYIKA wala ya...
Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to...
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.
Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu...
Kivuko hicho muhimu kinaunganisha maeneo na Mjini na Vijijini.
Hiki hapa;
====
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe wameunganishwa baada ya Wakala ya Barabara za...
UKISTAAJABU YA SINGIDA; UTAYAONA YA TABORA
Anaandika Gibson G Bayona
Tunaendelea Tulipoishia..
Ni muendelezo wa ziara ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu...
Kampuni ya Yapi Markezi haina uwezo tena wa kifedha kuendeleza huu mradi na ni wazi kuna mambo yanafichwafichwa sana juu ya nini chanzo na nani yuko nyuma ya hili jambo baya kabisa kuwahi...
Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika...
Habari Njema sana,
MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Upande wa Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.