Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema; "Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Hawa watu wanaheshimika sana na watanzania kwa sasa. Hawa ndio wanaonekana chief in comfort kwa sasa. Wanampa airtime yule mstaafu lkn watanzania hawamtilii maanani. Pita mtaani kwako ongea...
1 Reactions
2 Replies
791 Views
Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana...
5 Reactions
8 Replies
917 Views
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inaendelea kuongeza mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Dkt...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Kwamba Katiba(IGA) ndio Ina shida sio kanuni(HGA) hivyo Serikali imedanganya Wananchi,asisitiza Maandamano. -- "Sasa Juzi (Oktoba 22.2023) Serikali inasema imesikia maoni ya Wananchi na...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI. Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa...
13 Reactions
64 Replies
12K Views
TAL anao ujumbe wa wazi: Tunachokitaka tunakijua. Hatudanganyiki. Kiroho safi tu, CCM na watuelewe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini. Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas...
11 Reactions
76 Replies
9K Views
Mapambano na CCM hayataki lelemama. Ni Kwa maneno, mwonekano au vitendo? Hakupaswi kuwapo shaka popote. "Ni Mwabukusi, Mdude, Madeleka, Lissu, Slaa, Mwamakula, Ponda, au wa namma hiyo?" Wapi...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hotuba zake. Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana...
18 Reactions
95 Replies
5K Views
Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza. Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi...
4 Reactions
7 Replies
792 Views
25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati wa utawala wa JK kulikuwa na msemo mashuhuri sana ambao ilisemekana ulitolewa na Rostam Aziz kama ushauri wake kwa JK. Msemo huo ulikuwa unasema " Kwenye udhia penyeza Rupia" Kusema kweli...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni...
21 Reactions
146 Replies
10K Views
Haya ni maajabu na yanajengwa kwa kusudi gani? Alikuwepo Nape Nnauye, akaja Polepole na kisha akafuata huyu mama Mjema hata watu hawakumjua rangi yake wala anasema nini! Sasa ghafla kateuliwa...
22 Reactions
52 Replies
6K Views
Wadau amani iwe nanyi Leo nimekaa na kutafakari msitakabali wa nchi yetu nimekuja na ugunduzi wa mambo kadha wa kadha. Kwenye siasa za nchi yetu kuna kundi la watu ambalo kazi yao ni...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom