Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
1697848892388.png

Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure.

Kuna haja gani ya kumficha? Kama binadamu yeyote anayeweza kuugua.

Je, Dkt. Salim anaumwa au kasafiri? Kwanini tukio hii adhimu halikumpa nafasi mhusika kuonekana na kuongea na umma? Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Dkt. Salim Ahmed Salim anaumwa na amezeeka Sana.

Pia si mtu anayependa kamera Sana.

Moja Kati ya makosa makubwa ya CCM ni kurusu wahuni kumchafua Dr SAS kias cha kulikosesha taifa kiongoz Bora.

Dr. angeongoza taifa hili yumkin angekuwa ndiye Rais Bora wa muda wote Africa.
 
Uzee gani wakati wakongwe kuliko yeye kama mzee Cleopa Msuya na Pius Msekwa wanaonekana hata kuandika makala. Semeni anaumwa tutatelewa lakini si uzee.
 
Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure.

Kuna haja gani ya kumficha? Kama binadamu yeyote anayeweza kuugua.

Je, Dkt. Salim anaumwa au kasafiri? Kwanini tukio hii adhimu halikumpa nafasi mhusika kuonekana na kuongea na umma? Maswali ni mengi kuliko majibu.
ni mgonjwa kapata stroke na haongei kabisa
 
Baada ya uzinduzi wa Maktaba ya Kumbukumbu ya Maisha yake siku ile,Rais alienda moja kwa moja nyumbani kwa Dr.Salim Oysterbay kumtembelea na kuna picha niliona wamepiga Mama na Dr.Salim akiwa amekaa kwenye Wheel Chair akionekana ni mgonjwa na aliyezeeka sana
 
Ni kweli na sawa kutunza faragha ya Dr. Salim Ahmed Salim ambaye hali yake ya kiafya imetetereka. Lakini wakati huo ambapo tukio maalum lilipangwa la kufanya rejea na kuweka rasmi mchango wa Dr Salim ilikuwa pia uwe muda mwafaka wa Serikali, hususan Msemaji wa Serikali, kutoa taarifa rasmi inayokubalika pia na wana familia wa Dr. Salim ili wananchi wawe na habari kuhusu hali halisi ya kiongozi wao ambaye kastaafu lakini haonekani hadharani. Licha ya taarifa tunayostahili badala ya kutegemea hisia, Watanzania ambao tuna imani tofauti tungepata fursa ya kumwombea kheri na amani kiongozi akiwa bado yuko hai. Inawezekana kwa utawala wa sasa jambo hili ni gumu, halifikiriki?
 
Muislam unatakiwa upiganie dini yako kuliko dunia. Mwisho wa siku watu wa dunia watakuacha na watakusahau lkn akhera yako haitoondoka milele
 
Back
Top Bottom