Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

===================
Nyongeza:-
Mbali na
(a). Kheri James wengine ni
(b). Jesca Musambachavangu
(c). Christopher - Mwenezi (W) Kakonko
(d). Hamphrey Polepole.

Note
Kazi ya uenezi huhitaji MTU ambaye mishipa ya aibu ilishakatika. Asiyeweza waonea haya CDM, ACT, CUF, NCCR nk

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Wewe mkaribishe nyumbani kwako tu itatosha
 
Huyu kheri James ni yule alietamka jukwaani eti.. "Mpaka tuwape mimba wake zenu ndio muamini kazi tunayofanya"?
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.

Wewe una matatizo, Yani unataka apewe usemaji kisa CHADEMA?. Umpe uenezi kheri ili aikomoe CHADEMA na siyo kukijenga chama? .
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Mwenezi aliyeko ni dawa ya mbunge fulani jimbo Fulani.
Huyo mbunge ndiye anayempiga vita mwenezi Taifa
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Kuna yule Jesca Msambatavangu-Mbunge Iringa Mjini,lile jembe kwa upande wa wanawake kama ni zamu Yao kuwa wenezi yule anafaa.
 
Kwanini usijipigie chapuo wewe mwenyewe au hata mjomba wako awe katibu muenezi.

Kila siku watu hao hao halafu mnatarajia mabadiliko yenye tija. Keshahudumu vya kutosha kwenye chama na wote mnajua hasa ukomo wa uwezo wa fikra wake ambao ni matusi na kashfa halafu huyo huyo ndio mnataka apewe tena nafasi.

Chama kina mamilioni ya wanachama, watafutwe watu wapya.
 
Hapana tunachagua haohao wa nenda rudi manake ndo wanakijua chama na wana uweledi wa kutosha🤣🤣
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Heri james alipopewa uenyekiti uvccm alichangia sana ccm kuharibika taswira. ccm hawawezi wakamrudisha tena katika nafasi ya chama. Labda kama wameamua ccm izirai tena mioyoni mwa watu. tatizo lililomo ccm ni nepotism....ukatibu mkuu na uenezi watazame uwezo wa mtu na si kujuana
 
Back
Top Bottom