Meli zikiwa zinaingia nyingi kuna haja ya Soko la Samaki na Kivuko kuendelea kuwepo pale Ferry?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Nawauliza tu waungwana kama Bandarini patachanganya kwa kuwasili Mimeli mikubwa mikubwa je kuna haja ya Soko la Samaki na Kivuko kuendelea kuwepo pale Ferry?

Au Soko lihamishiwe Msasani na Kunduchi?

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Wiki hii mwanzoni tu, pale coco beach, ulikuwa unahesabu meli 23 zikiwa foleni; hawa waislamu waliopewa bandari BURE, watakuwa wanahudumia meli ngapi at once?
 
Wewe tuambie kwanza kwanini unataka liamishwe?

Maana.. sioni y utake iwe hivi.. na haviingiliani.
Ni katika muendelezo wa kumilikisha ardhi kama tulivyoamua kubadili Katiba! Si wanasema kambi ya green guard imeshachukuliwa pale?

Hivyo, wakisema Ferry, ni muelekeo wa kuchukua yale makanisa mawili pale nadhani, Johari Rotana, sina hakika yale majengo pacha kama yanahusika kwenye huu UHARAMIA wa MAJUHA.
 
Back
Top Bottom