Watu waovu, mafisadi, majangili, wahujumu uchumi, wazembe na goigoi ndio wanaopendwa kwenye nchi hii

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,527
1,913
Kila nikitazama utendaji kazi wa hii serikali, naona kama imekwenda likizo, watu wanafanya wanavyotaka, kila kiongozi serikalini anashindana kuiba, watu wanapiga za kuona, wizara zoote watu wanashindana kuiba, watu pekee ninao wanna wanafanya kazi ni machawa wa kusifu na kusujudu, wao hawalali usiku na mchana wapo kazini.

Tanzania sijui tumelogwa na nani!? watu waovu, mafisadi, majangili, wahujumu uchumi, wazembe na goigoi ndio watu wanaopendwa kwenye nchi hii.

Dah, tunasafari ndefu sana, na sijui kama tutafika, na kama tutafika tutafika tukiwa tumechoka sana.
 
Kila nikitazama utendaji kazi wa hii serikali,naona kama imekwenda likizo,watu wanafanya wanavyotaka,kila kiongozi serikalini anashindana kuiba,watu wanapiga za kuona,wizara zoote watu wanashindana kuiba,watu pekee ninao wanna wanafanya kazi,ni machawa wa kusifu na kusujudu,wao hawalali usiku na mchana wapo kazini.

Tanzania sijui tumelogwa na nani!?, watu waovu,mafisadi,majangili,wahujumu uchumi,wazembe na goigoi,ndio watu wanaopendwa kwenye nchi hii,dah tunasafari ndefu sana,na sijui kama tutafika,na kama tutafika,tutafika tukiwa tumchoka sana.

Amepwaya sana.
 
samia ni dhaifu nchi imemshinda,tiss fanyeni jambo,tunapata aibu,kitaifa na kimataifa
 
Kila nikitazama utendaji kazi wa hii serikali, naona kama imekwenda likizo, watu wanafanya wanavyotaka, kila kiongozi serikalini anashindana kuiba, watu wanapiga za kuona, wizara zoote watu wanashindana kuiba, watu pekee ninao wanna wanafanya kazi ni machawa wa kusifu na kusujudu, wao hawalali usiku na mchana wapo kazini.

Tanzania sijui tumelogwa na nani!? watu waovu, mafisadi, majangili, wahujumu uchumi, wazembe na goigoi ndio watu wanaopendwa kwenye nchi hii.

Dah, tunasafari ndefu sana, na sijui kama tutafika, na kama tutafika tutafika tukiwa tumechoka sana.
Midia nazo naona kama sio kuhongwa kuna shida mahali sio kwa huu wizi
 
Back
Top Bottom