Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,005
- 4,664
Kuna taarifa kwenye magazeti kwamba katika kikao cha dharura cha NEC hoja kuu ni mkataba wa bandari. Lakini nijuavyo mimi hii siyo dharura wala hoja yakujadili kwa masaa kadhaa ikafungwa au kutolewa maamuzi bali ni hoja inayohitaji muda wa kutosha.
Nini kimepelekea iwekwe kwenye kikao cha dharura? Je katika kikao hicho aliyeipeleka kwa Dhararu amelenga mema au mabaya? Kwa udharura huu tunaamini bandari itakuwa salama chini ya TPA au imekabidhiwa DP world na NEC?