Tetesi: Ndungulile, kuna maandamano yanapangwa hapa Kigamboni kupinga kuondolewa kwa Stendi ya Mabasi ya Ferry

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,163
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.

Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.

Watumiaji wakubwa wa hicho kituo cha Ferry ni wale wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala.
 
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye bajaj wapo.

Na hii ni baada ya kuondolewa kwa daladala zote zilizokuwa zinaishia Ferry, ambazo kwa sasa zitaishia Posta Mpya.
Okay sawa. ni muhimu sana hilo
 
Huku bara hakuwahusu.
 
JPM ndo aliharibu mazingira ya CBD Dar yaani vibajaji vya watu wachafu2 na piki2 posta ni aibu kubwa kwa image ya Tanzania! Miji mingine duniani ni taxi tu na tram na mabasi makubwa! JPM na ushamba wake ndo haya tunayaona leo! YAANI ARUSHA NA MBEYA PIA NI KERO SANA VIBAJAJI NA PIKI2 NI LAZIMA UFUMBUZI UPATIKANE KWANI JPM ALISHAKUFA
 
Naunga mkono hoja..
 
Ferry ni jimbo la Ilala kwa Zungu 😂
Sawa,
Lakini watumiaji wakubwa wa hicho kituo ni wanaotoka au wanaokwenda Kigamboni. Sasa wakishavuka kutokea Kigamboni watalazimika kutembea mpaka Posta mpya ndio wakute daladala
 
Hahah kwahiyo hawataki kupisha ujenzi wa Mradi wa Mwendokasi?? Mbunge wa hapo Wala sio Mr Faustin ni Zee la Kazi Zungu De Agrey
Wateja wakubwa wa zile Daladala pale Kwa jimbo la Zungu ni wakaazi wa Kigamboni Kwa Ndungulile sasa zimeondolewa unazan hapo nani wakaazi wake wataumia, kumbuka hao wakaazi wa kigambon Kwa Ndungulile ndio Pelee ambao wakitaka kwenda kwao au kutoka kwao lazma walipie nchi nzima hakuna kama hao.
 
Kituo cha Ferry kilichoko jimbo la ilala ni njia kuu ya wakazi wengi wa Kigamboni wanaokuja mjini, ukiacha darajani na kuzungukia Kongowe.
 
Wateja wakubwa wa zile Daladala pale Kwa jimbo la Zungu ni wakaazi wa Kigamboni Kwa Ndungulile sasa zimeondolewa unazan hapo nani wakaazi wake wataumia, kumbuka hao wakaazi wa kigambon Kwa Ndungulile ndio Pelee ambao wakitaka kwenda kwao au kutoka kwao lazma walipie nchi nzima hakuna kama hao.
Mnaendekeza hoja za kijinga sana, sijui hata uwezo wa wananchi kufikiri ukoje. Yaani tusifanye maendeleo kisa mtu hawezi kutembea toka Ferry kwenda Posta??

Hao wananchi kama wapo waambie waandamane tu, na hawatomzuia Ndugulile kuwa mbunge. Sikujua kuwa Kigamboni wanaishi watu wa Hovyo
 
JPM ndo aliharibu mazingira ya CBD Dar yaani vibajaji vya watu wachafu2 na piki2 posta ni aibu kubwa kwa image ya Tanzania! Miji mingine duniani ni taxi tu na tram na mabasi makubwa! JPM na ushamba wake ndo haya tunayaona leo! YAANI ARUSHA NA MBEYA PIA NI KERO SANA VIBAJAJI NA PIKI2 NI LAZIMA UFUMBUZI UPATIKANE KWANI JPM ALISHAKUFA
Inaonyesha bado una hasira na kisichokuwepo?
 
Back
Top Bottom