Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya 1, kuvunja Baraza la mawaziri au 2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ukiwa mtu wa kufuatilia Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa miaka kadhaa utagundua kuwa kumekuwa na kukosekana kwa uwajibikaji hasa kwa watumishi wengi wa umma mara...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika, tangu ofisi ya CAG ianzishwe, hakuna wakati ulipokosekana wizi ndanibya Serikali na taasisi zake. Kinachobadilika ni wizi kuwa mkubwa, mkubwa sana au mkubwa kupindukia...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi...
4 Reactions
3 Replies
756 Views
Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf. Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
6 Reactions
48 Replies
7K Views
13 Reactions
32 Replies
3K Views
KWANINI GHARAMA ZA UJENZI WA RELI YA SGR KIGOMA - TABORA 506km ZIMEONGEZEKA BAADA YA RAIS SAMIA KURUHUSU TENDA YA MFUMO WA CHANZO KIMOJA ( Single source) BADALA YA USHINDANI open tender? JE NI...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement. Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na...
20 Reactions
116 Replies
12K Views
Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025? Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naona nguvu kubwa inatumika kukusugua kwa dodoki, nikuhakikshie Wizara ya fedha imekushinda totally, usilazimishe, wewe kama mtunza hazina umeshindwa kufanyia kazi priorities za nchi. Imani...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Waziri Nape wakati akichangia ripoti ya CAG amesema Ripoti hiyo hufikishwa pia CCM na kufanyiwa Kazi hivyo yeye ameanza kushughulika Ripoti hizi kabla hajawa mbunge Jamani tunaposema Katibu wa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya...
23 Reactions
155 Replies
28K Views
Salaam, Shalom!! Ulichokifanya ni WAJIBU wako kama kiongozi, ila Si vibaya kukupongeza sababu wamekuwapo wakuu wa mikoa wengi tangu uhuru lakini hawakupata mafanikio kama uliyofikia Hadi sasa...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Sijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa. Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security"...
11 Reactions
78 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa...
3 Reactions
34 Replies
13K Views
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa...
57 Reactions
174 Replies
16K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Chadema ni Chama Kikuu cha Upinzani kinachopokea mabilioni ya ruzuku kila mwaka Hamieni kwenye ofisi mpya bhana kule Mikocheni, kule Ufipa st mvua unaleta changamoto Kubwa tu Ni ushauri tu 😀
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa...
17 Reactions
149 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…