Uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda utamfanya Rais Samia apendwe Kanda ya Ziwa?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,204
3,009
Wiki hii nilikuwa wilayani Itilima kikazi, hii ni wilaya ipo nyuma mno kimaendeleo, na ni wilaya iliyona wasukuma tu.

Basi katika kupitapita mtaani, nilikutana na watu wengi wanalalamika kuwa siku hizi umeme ni shida mnoo, maji ni shida, hospitalini nasikia kunanuka sana rushwa hapo Itilima. Yaani wanasema Samia hawasaidii chochote kama alivyokuwa JPM, lawama zote wanamlaumu Rais Samia.

Yaani Samia uku Simiyu kazi anayo saana, watu wakiona shida yeyote wanasema yeye ndo kasababisha.

Nauliza uteuzi wa Makonda na Biteko utamfanya Samia apendwe kanda ya ziwa?
 
As per his job description he is responsible for party publicity,now you tell me,does he possess those ingredients with reference to the current political and economic situations??
 
Sisi wa Kanda ya Ziwa tunasema hivi: HATUDANGANYIKI !!!!!
 
As per his job description he is responsible for party publicity,now you tell me,does he possess those ingredients with reference to the current political and economic situations??
Bearing in mind Makonda's friendship with president Samia and being a member of NEC and Central committee of the ruling party,he has a mandate to advice his chairman to channel some funds in a specific area for political gain!
 
Wiki hii nilikuwa wilayani Itilima kikazi, hii ni wilaya ipo nyuma mno kimaendeleo, na ni wilaya iliyona wasukuma tu.

Basi katika kupitapita mtaani, nilikutana na watu wengi wanalalamika kuwa siku hizi umeme ni shida mnoo, maji ni shida, hospitalini nasikia kunanuka sana rushwa hapo Itilima. Yaani wanasema Samia hawasaidii chochote kama alivyokuwa JPM, lawama zote wanamlaumu Rais Samia.

Yaani Samia uku Simiyu kazi anayo saana, watu wakiona shida yeyote wanasema yeye ndo kasababisha.

Nauliza uteuzi wa Makonda na Biteko utamfanya Samia apendwe kanda ya ziwa?
SIKU UKIJUA KUWA MAVI AYAPENDWI HATA KAMA YAMETOKANA NA KULA CHOCOLATE UTAKUWA UMEJUA KUWA HUYO ZUZU HAWEZI KUPENDWA KAMWE
 
As per his job description he is responsible for party publicity,now you tell me,does he possess those ingredients with reference to the current political and economic situations??
Waarabu koko rudini kwenu
 
Makonda anapewa sifa za bure Wala sio lolote Kwa siasa za Kanda ya ziwa zaidi ya kutumia ubabe kufanya siasa
 
Wiki hii nilikuwa wilayani Itilima kikazi, hii ni wilaya ipo nyuma mno kimaendeleo, na ni wilaya iliyona wasukuma tu.

Basi katika kupitapita mtaani, nilikutana na watu wengi wanalalamika kuwa siku hizi umeme ni shida mnoo, maji ni shida, hospitalini nasikia kunanuka sana rushwa hapo Itilima. Yaani wanasema Samia hawasaidii chochote kama alivyokuwa JPM, lawama zote wanamlaumu Rais Samia.

Yaani Samia uku Simiyu kazi anayo saana, watu wakiona shida yeyote wanasema yeye ndo kasababisha.

Nauliza uteuzi wa Makonda na Biteko utamfanya Samia apendwe kanda ya ziwa?
Hayo ya Itilima, ni hali halisi kwa nchi nzima tuyaache! Swali lako la msingi ni kuhusu hizi teuzi mbili. Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya uteuzi wa naibu waziri mkuu. Kuteuliwa kwake kama naibu hakujaleta na hakutaleta impact yoyote kwa kanda ya ziwa. Kitakachoweza kusaidia kukubalika kwa serikali yake ni kuboresha huduma za jamii na ajira kwa vijana na si kuwadanganya wananchi kwa teuzi. Hii ya kumteua Makonda haina afya si kwa kanda ya ziwa tu bali hata ktk chama chake kutokana na hulka ya huyu mtu na historia ya matendo yake.
 
Hapana, Kanda ile ina watu wa aina yake hawashawishiki kirahisi hivyo. Hata Rais Magufuli (RIP) wala hawakumpigia kura za hivyo, CCM wana justify tu kuwa wakanda walimpigia mtu wao kitu ambacho si kweli.
Msiwe mnaongea bira vielelezo,kipindi jpm anaingia madarakani kwa mala ya kwanza,kanda ya ziwa ilikuwa inatawaliwa na wabunge wa upinzani,lkn kwenye uchaguzi wa awamu ya kwanza ya jpm,wabunge wa upinzani kanda ya ziwa woote walipigwa chini. Na kipindi kile jpm hukuwa mwenyekiti wa ccm kuwa labda alliba kama mnavyosema.
 
Eti eenhe? Haya! 😆😆😆
 
Back
Top Bottom