Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,336
- 24,232
Kwanza niseme wazi kuwa, tayari nimeunga mkono juhudi za Mama Samia kuendeleza bandari kwa kuwapa DP World baada ya kurekebisha vipengele vya mkataba.
Hivyo vipengele bado havipo public, but we hold our President accountable kuwa ana nia njema.
Tatizo ni uswahihii uswahili uliotumika kualika washuhudiaji wa utiaji mkataba huo.
Watu wamealikwa wasijue nini kinaendeea.
Fr Kitima tunajua yupo TEC naye alialikwa bila kujua nini kinaendela, na wito kwenda Ikulu si jambo dogo.
Fr. Kitima pamoja na TEC wako on record kuonyesha mapungufu ya mkataba wa awali wa nchi yetu na DP World.
Sasa aliyealika alikuwa akijua anafanya nini na kwa dhamira ipi.
Mbaya zaidi wakamualika mhuni wa mitaani Mrisho Mpoto kuangusha vijembe dhidi ya Fr Kitima.
IKULU THATS LOW!
Next time mkialika mtu na mkamlisha nguruwe Ikulu nani atashangaa? Kilichofanyika ni uswahili wa wakuchamba mtu, not expected from Ikulu.
Was it coordinated?
Tunakumbuka hotuba Rais akisema hata waliopinga wapo humu!
Next time mkiita watu wenye heshima zao Ikulu, watahoji mwito huo kama una maslahi kwake mtu binafsi, au wanaenda kuchambwa na Mrisho Mpoto.
Ikulu, mmejishushia hadhi.