Waziri Mkuu anapambana na wezi wa mali za umma ila Mwigulu anasimama kusema hakuna wizi serikalini: Je, Waziri Mkuu yupo salama kwenye hii vita?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Waziri Mkuu mara zote amejitahidi kuwaondoa kwenye nafasi zao wale wanaotumia vibaya fedha za umma. Amesimama mara kadhaa upande wa wananchi akipiga marufuku wizi wa fedha za umma.

Waziri wa fedha kwa upande mwingine anasema hakuna wizi wa fedha za umma. Maana yake anasema wanaotumbuliwa na Waziri Mkuu na kutangaza adharani kwamba wameiba basi siyo wezi. Na niseme kwamba Waziri Mkuu yupo sahihi ndiyo maana hata wanaotuhumiwa hakuna anayewapeleka mahakamani.

Nimpongeze sana Rais kwamba ameona huu mtego. Kila waziri wa fedha anapotoa kauli hii yeye uamua kukaa kimya. Siku chache Rais alipotembelea lindi na Mtwara kuna viongozi waliachia ngazi kwa ubadhirifu. Means kwa kauli ya Mwigulu watumishi wale walionewa

Kwa hii vita ya madaraka inayoendelea , naamini ofisi ya CAG haitakuwa na ripoti ya kusema kuna wizi. Wizi unaosemwa na CAG kwa Mwigulu ni uzushi na hivyo hata bunge linakwenda kupigwa marufuku kufichua wizi kwani kufichua wichi ni kupingana na waziri wa fedha.

Haya mapambano yanalenga kufikiwa kwa mafanikio gani kisiasa?Lakini pia kwa mtizamo wako, Waziri Mkuu aendelee kuwaumbua wezi au akae kimya?
 
Shida ni huyu giggy money hapo juu ndo analeta hii changmoto yote
 
Hapo inategemean mambo mawilil

PM AMESISIMA WAP WAKATI ANASEMA HAYO (TAARFA NA MAZINGIRA) THE SAME NA WAZR WA FEDHA ANAJIB HILO KURINGAN NA MAZINGIRA GAN
 
Back
Top Bottom