Hakika nimeuona ukuu wa Makonda na Ukuu wa CCM

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,529
1,914
Habari,

Kuna kipindi nilikuwa ninaamini Paul Makonda ni mtu mdoogo tena mtu wa kawaida sana,niliamini hakuna mtu anaweza kupoteza mda kwa ajiri ya kushughurika na huyu kijana Paul Makonda. Kumbe mimi nilikuwa mjinga na nisie jua chochote au lolote.kumbe kumbe Paul makonda ni mtu mhimu sana ktk siasa za nchi hii, ni mtu maarufu na mwenye kutikisa nchi na siasa za vyama vyoote.

Kwa nn nimegundua hivyo,ni kwa sababu mtu dhaifu hawezi kutawala kurasa za mitandao yoote ya kijamii,hapa jf kwa leo na jana, nyuzi zaidi ya kumi na tano zinaandikwa kumhusu hiyu kijana paul makonda niliye amini si chochote na si lolote. JF ililala toka Makonda ateuliwa kuwa katibu wa itikadi na uenexi ccm taifa.

Lkn pia nimeona ukuu na umhimu wa ccm ktk taifa hili,wapinzani wa ccm kumbe na wao wanaamini ccm ndio baba lao,na wao wako ktk kumshauri adui yao ccm juu ya uteuzi wa mwamba Paul Makonda.

Big up Makonda, big up Dkt. Samia, big up Chama cha Mapinduzi.
 
Wenzako huweka na namba ya simu.
Mie nimeshangaa,jf nzima ni hoja ya makonda tu,makonda,makonda,makonda.hakuna jambo lingine la maana kuliko huu upuuzi.ccm imekosea kumweka makonda kwenye uenezi,sasa si wapinzani wachukue nchi,au wao hawataki kutumia makosa ya ccm kushinda uchaguzi?
 
Habari,

Kuna kipindi nilikuwa ninaamini Paul Makonda ni mtu mdoogo tena mtu wa kawaida sana,niliamini hakuna mtu anaweza kupoteza mda kwa ajiri ya kushughurika na huyu kijana Paul Makonda. Kumbe mimi nilikuwa mjinga na nisie jua chochote au lolote.kumbe kumbe Paul makonda ni mtu mhimu sana ktk siasa za nchi hii, ni mtu maarufu na mwenye kutikisa nchi na siasa za vyama vyoote.

Kwa nn nimegundua hivyo,ni kwa sababu mtu dhaifu hawezi kutawala kurasa za mitandao yoote ya kijamii,hapa jf kwa leo na jana, nyuzi zaidi ya kumi na tano zinaandikwa kumhusu hiyu kijana paul makonda niliye amini si chochote na si lolote. JF ililala toka Makonda ateuliwa kuwa katibu wa itikadi na uenexi ccm taifa.

Lkn pia nimeona ukuu na umhimu wa ccm ktk taifa hili,wapinzani wa ccm kumbe na wao wanaamini ccm ndio baba lao,na wao wako ktk kumshauri adui yao ccm juu ya uteuzi wa mwamba Paul Makonda.

Big up Makonda, big up Dkt. Samia, big up Chama cha Mapinduzi.
Naunga mkono hoja.Na Mimi nimekuwa nilifikiri hivyo.Na Wapinzani wanamhofia sana kuwa atasababisha wakose kura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom