TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
FqRMnGVWIAASka4.jpg
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.

FqRFkhHWYAEhOj9.jpg
 
Huko ACT mbona kwa Moto sana. Wabunge wanapukutika shida ni nini?

Zitto Kabwe na Mzee Makamba naomba mtwambie na huyu Ndugu alikuwa mtu mbaya ndio maana amekufa?

Kila nafsi itaonja mauti
 
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.

Watu wazuri hawafi!!! Huyu ni mtu mbaya
 
Ingetungwa sheria. Inapotokea anafariki mbunge/mwakilishi basi nafasi yake kipewe chama alichotoka kwa kuteua mwakilishi mwingine. Kusiwe na uchaguzi tena
 
Back
Top Bottom