Dkt. Tulia na marafiki zake kutoka Mbeya

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ametembelewa na Marafiki zake kutoka Mbeya.

Awali akiwa anazungumza na wageni hao, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Dotto Biteko(Mb) alikuja kuwasalimu na kuwapa moyo waendelee kumuombea Spika wa Bunge.

Wageni hao wamefika Leo tarehe 08 Novemba 2023, Bungeni Dodoma.
FB_IMG_1699449278076.jpg
FB_IMG_1699449275028.jpg
FB_IMG_1699449280494.jpg
FB_IMG_1699449283358.jpg
FB_IMG_1699449285975.jpg
FB_IMG_1699449288801.jpg
FB_IMG_1699449291266.jpg
FB_IMG_1699449293550.jpg
FB_IMG_1699449295991.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1699449288801.jpg
    FB_IMG_1699449288801.jpg
    68.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1699449291266.jpg
    FB_IMG_1699449291266.jpg
    76.2 KB · Views: 3
Huyu dada anahaha kutafuta popularity ambayo hana - ashaambiwa kitambo kabisa kwamba Mbeya ina wenyewe atakonda bure, cha msingi asipitishe sheria yoyote mpya ya uchaguzi Bungeni ili aendele exist kwa usaidizi wa Tume.
 
Akonde tena zaidi ya hapo??dada mbinafsi sana huyu
 
Ila Ama Kwa Hakika Waswahili Wanasema Kosa Sura, Pata Zegembe
 
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ametembelewa na Marafiki zake kutoka Mbeya.

Awali akiwa anazungumza na wageni hao, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Dotto Biteko(Mb) alikuja kuwasalimu na kuwapa moyo waendelee kumuombea Spika wa Bunge.

ATTACH]View attachment 2808016
Rais ajaye wa JMT sio, hongera zake
 
Huyu dada anahaha kutafuta popularity ambayo hana - ashaambiwa kitambo kabisa kwamba Mbeya ina wenyewe atakonda bure, cha msingi asipitishe sheria yoyote mpya ya uchaguzi Bungeni ili aendele exist kwa usaidizi wa Tume.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchagua huyo ajuza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom