Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 887
- 2,201
Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti.
Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni Mzanzibari ambaye zamani alikuwa promota maarufu wa mchezo wa ngumi ana uhusiano wa karibu na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameagiza jezi hizo ziachwe ziingie sokoni kuharibu biashara ya vilabu husika.
Kama ni kweli basi ni mhujumu uchumi.
Tukutane 9/11/2023