Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023.


F-YRDLMXgAAY8aZ.jpeg


===
IMG_8994.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco

IMG_8995.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco
 
Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.
Unajua ni miradi mingapi inafadhiliwa na AfDB hapa nchini au umejiandikia tu?
 
Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.
Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?
 
Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhali

Wewe kumbe hujui unachoongea. Unadhani Ruzuku inawekwa kwenye akaunti ya mtu binafsi? Unahitaji shule.
 
Back
Top Bottom