Mpina anajaribu kulazimisha vita na Mr Clean ambaye kwa bahati mbaya hana muda naye

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
Nimesikiliza clip ya Mpina Luhaga akihojiwa na chombo fulani cha habari na kuibuka na hoja mpya kwamba ana jedwari linaloonesha upotevu wa Tril. 30 ambazo anasema hoja zake zinatokana na ripoti za kikaguzi za CAG.

Mpina ameenda mbele na kudai kwamba upotevu huo unajumuisha upigaji katika mapato na matumizi ya serikali na kwa ujumla wake umesababisha zaidi ya Tril 30 kupotea.

Mbali na hoja hizo za Mpina ameongeza ingne kuhusu uhalali wa Elimu ya ๐ƒ๐‘ ๐Œ๐–๐ˆ๐†๐”๐‹๐” ๐๐‚๐‡๐„๐Œ๐๐€ ambae rekodi zake za kitaaluma ziko wazi kuanzia Div 1 yake Ilboru, Div 1 yake Mazengo High School na hata 1st Class yake ya uchumi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyowalazimu Benki Kuu ya Tanzania kumuomba wafanye nae kazi 2006-2010 kama Mchumi wao daraja la kwanza.

Sasa kuhusu hoja za kiukaguzi ambazo ndo kama shabiki wa Dr. Mwigulu ๐Œ๐‘ ๐‚๐‹๐„๐€๐ nataka kujibia hoja hizo kama ifuatavyo.

1.Katika logic za kiuchumi na kiukaguzi hakuna namna katika mwaka mmoja wa kiukaguzi katika nchi yenye bajeti ya Tril 40+ kwa mwaka kunaweza kuwa na upotevu wa Tril 30 na bado shughuli za kiuchumi na kibajeti zikaendelea. Reference ya madai yake ni ripoti ya mwaka mmoja wa kiukaguzi ambayo inafeli ku make sense at all.

2. Mpina anafahamu taratibu za kibunge kwamba baada ya taarifa ya CAG kuwasilishwa kwa Bunge, Kamati za ๐Š๐ข๐ค๐š๐ ๐ฎ๐ณ๐ข yaani PAC, LAAC na PIC kuipitia taarifa, huwahoji maafisa masuuli wote wa Wizara na Idara zenye mapungufu ya kiukaguzi na kisha hutoa taarifa kwa bunge na umma kuhusu maoni yake, mapendekezo yake etc. Na kwa taratibu maoni ya kamati hizi huwa ni uwakilishi wa maoni ya Umma. Sasa Bunge hili limepokea taarifa za kamati zote hizi tatu na zote kwa umoja wako zimeonyesha haya mambo 3 yanayokinzana kabisa na kauli za Mpina.

a) Hakuna maoni ya PAC, LAAC au PIC yaliyoonesha upotevu wa Tril 30 anaousema Mpina.

b) Hakuna mahala kamati hizi wala ripoti zake na hata ile kuu ya CAG vimetaja hoja zote anazoibua Mr.Mpina zikimsisha Dr. Mwigulu ๐Œ๐‘ ๐‚๐‹๐„๐€๐

c) Kamati zote, sambamba na ripoti za CAG zimekiri kuwa na maboresha katika namna za ukaguzi kuanzia katika bajeti za kikaguzi kwa ofisi ya CAG/NAOT, Uwazi katika uwasilishaji wa ripoti n.k kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii.

3. Hata katika kikao cha bunge cha Novemba 3, 2022 ambapo Mpina aliibua hoja zake hizi hizi na kuulizwa na Mh Spika Dr. Tulia Ackson kama anaweza kuthibitisha madai yake kwa kutumia reference ya CAG alikiri kwamba hawezi kwa sababu reference pekee yuko nayo ni ripoti za FIU kitu ambacho si tu kinaondoa consistency katika hoja zake bali pia kinaleta ukakasi kuhusu uelewa wa mambo ya kiuchumi na kiukaguzi wa huyu mtu.

Haya mambo makuu matatu yaliyoainishwa na taarifa zote yaani za CAG na hata za kamati za Bunge si tu yanakinzana na hoja zote za Mpina lakini zaidi yanaonesha tu kwamba Mr. Mpina anafosi bifu na Mr. Clean na inaonesha Political Relevancy ya Mpina imebaki katika kutengeneza hoja za hovyo na specifically zenye kumlenga Mr. CLEAN! ambae kwa bahati mbaya saana hana hata muda nae.
 
Nimesikiliza clip ya Mpina Luhaga akihojiwa na chombo fulani cha habari na kuibuka na hoja mpya kwamba ana jedwari linaloonesha upotevu wa Tril. 30 ambazo anasema hoja zake zinatokana na ripoti za kikaguzi za CAG, (Jedwali la Mpina nimeambatanisha chini hapo)...

Mimi sitaki kuingilia post yako wala ya Mpina ila kwa taarifa tu;
Tumejulishwa juzi Bungeni kuwa, Kahospitali kamoja tu ka Bugando kalikuwa kanakusanya milioni 300 kwa mwezi; hivi majuzi kakafungwa mfumo wa Kieletronic sasa kanakusanya zaidi ya Bilioni 3 kwa mwezi.
Unafikiri ni Matrilioni mangapi yanaibiwa Kwenye hayo mataasis ya umma, huku watu wanakimbizana na walalahoi huku chini

Sina shida na huyo Mr Clean ila Natamani mifumo iongezewe bajeti na kufungwa kwenye mataasisi/mashirika hadi huku chini, lakini pia kuisimamia mifumo ifanye kazi walau kwa 85% bila visingizio

Hivi unajua hadi leo NHIF wanatumia makaratasi?
 
Acc yako inasoma senior member,

Umelipwa Sh ngapi ?

"Nilivyousoma mchezo Nchemba anamchenga mpina kwa sababu Ile kauli ya kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake ilitumika efficiently

"Kama mpina ana Ushahidi Asipuuziwe!
 
Watu ambao Huwa tuna IQ Kubwa, Mara nyingi tunachukiwa na kuonewa wivu na wajinga kama wee mtoa mada.

Kupata Div One, hiyo ni sehem ya Elimu... Suala ni je, ulichokisomea ,una Uwezo gan wa kukiweka kwenye matendo??.

Mpina kaweka wazi, Na katolea mfano wa mambo mawili tu ambayo tayari yanakula Trillion 6.... Hayo ni mawili tu. Je yalobaki ni mangapi? Hata yasifikie hizo Trillion 30??.

Wee unazungumzia Ma Div One?? Kwa Elimu ya kibonge Kusoma na kukamia ili upate One ,wakusifie??.

Mwigulu ana ubora wa IQ kumshinda Dr Kimei??.

Mjinga Mmoja wewe !!.
 
Wenzako siku hizi Wanatumia sana watu wale wakuitwa chawa wewe pamoja na mapesa yote uliotuibia Bado unakuja kubishana na mpina hapa penye watu wenye uelewa mpana leo ndio naamini wanyiramba wenye uelewa ni wachache sana
 
Nimesikiliza clip ya Mpina Luhaga akihojiwa na chombo fulani cha habari na kuibuka na hoja mpya kwamba ana jedwari linaloonesha upotevu wa Tril. 30 ambazo anasema hoja zake zinatokana na ripoti za kikaguzi za CAG.

Mpina ameenda mbele na kudai kwamba upotevu huo unajumuisha upigaji katika mapato na matumizi ya serikali na kwa ujumla wake umesababisha zaidi ya Tril 30 kupotea.

Mbali na hoja hizo za Mpina ameongeza ingne kuhusu uhalali wa Elimu ya ๐ƒ๐‘ ๐Œ๐–๐ˆ๐†๐”๐‹๐” ๐๐‚๐‡๐„๐Œ๐๐€ ambae rekodi zake za kitaaluma ziko wazi kuanzia Div 1 yake Ilboru, Div 1 yake Mazengo High School na hata 1st Class yake ya uchumi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyowalazimu Benki Kuu ya Tanzania kumuomba wafanye nae kazi 2006-2010 kama Mchumi wao daraja la kwanza.

Sasa kuhusu hoja za kiukaguzi ambazo ndo kama shabiki wa Dr. Mwigulu ๐Œ๐‘ ๐‚๐‹๐„๐€๐ nataka kujibia hoja hizo kama ifuatavyo.

1.Katika logic za kiuchumi na kiukaguzi hakuna namna katika mwaka mmoja wa kiukaguzi katika nchi yenye bajeti ya Tril 40+ kwa mwaka kunaweza kuwa na upotevu wa Tril 30 na bado shughuli za kiuchumi na kibajeti zikaendelea. Reference ya madai yake ni ripoti ya mwaka mmoja wa kiukaguzi ambayo inafeli ku make sense at all.

2. Mpina anafahamu taratibu za kibunge kwamba baada ya taarifa ya CAG kuwasilishwa kwa Bunge, Kamati za ๐Š๐ข๐ค๐š๐ ๐ฎ๐ณ๐ข yaani PAC, LAAC na PIC kuipitia taarifa, huwahoji maafisa masuuli wote wa Wizara na Idara zenye mapungufu ya kiukaguzi na kisha hutoa taarifa kwa bunge na umma kuhusu maoni yake, mapendekezo yake etc. Na kwa taratibu maoni ya kamati hizi huwa ni uwakilishi wa maoni ya Umma. Sasa Bunge hili limepokea taarifa za kamati zote hizi tatu na zote kwa umoja wako zimeonyesha haya mambo 3 yanayokinzana kabisa na kauli za Mpina.

a) Hakuna maoni ya PAC, LAAC au PIC yaliyoonesha upotevu wa Tril 30 anaousema Mpina.

b) Hakuna mahala kamati hizi wala ripoti zake na hata ile kuu ya CAG vimetaja hoja zote anazoibua Mr.Mpina zikimsisha Dr. Mwigulu ๐Œ๐‘ ๐‚๐‹๐„๐€๐

c) Kamati zote, sambamba na ripoti za CAG zimekiri kuwa na maboresha katika namna za ukaguzi kuanzia katika bajeti za kikaguzi kwa ofisi ya CAG/NAOT, Uwazi katika uwasilishaji wa ripoti n.k kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii.

3. Hata katika kikao cha bunge cha Novemba 3, 2022 ambapo Mpina aliibua hoja zake hizi hizi na kuulizwa na Mh Spika Dr. Tulia Ackson kama anaweza kuthibitisha madai yake kwa kutumia reference ya CAG alikiri kwamba hawezi kwa sababu reference pekee yuko nayo ni ripoti za FIU kitu ambacho si tu kinaondoa consistency katika hoja zake bali pia kinaleta ukakasi kuhusu uelewa wa mambo ya kiuchumi na kiukaguzi wa huyu mtu.

Haya mambo makuu matatu yaliyoainishwa na taarifa zote yaani za CAG na hata za kamati za Bunge si tu yanakinzana na hoja zote za Mpina lakini zaidi yanaonesha tu kwamba Mr. Mpina anafosi bifu na Mr. Clean na inaonesha Political Relevancy ya Mpina imebaki katika kutengeneza hoja za hovyo na specifically zenye kumlenga Mr. CLEAN! ambae kwa bahati mbaya saana hana hata muda nae.
Da Esther unampambania kweli kweli mumeo. Mpende mumeo
 
Njaa Mbaya sana, Elon Mask anatafuta mazezeta kama wewe kuyapandikiza chip mtumie akili bandia, maana alizowapa Mungu zimefeli.
 
Mungu atusaidie kwa kweli.

Jambazi wa mali ya umma linaitwa Mr Clean
 
Watu ambao Huwa tuna IQ Kubwa, Mara nyingi tunachukiwa na kuonewa wivu na wajinga kama wee mtoa mada.

Kupata Div One, hiyo ni sehem ya Elimu... Suala ni je, ulichokisomea ,una Uwezo gan wa kukiweka kwenye matendo??.

Mpina kaweka wazi, Na katolea mfano wa mambo mawili tu ambayo tayari yanakula Trillion 6.... Hayo ni mawili tu. Je yalobaki ni mangapi? Hata yasifikie hizo Trillion 30??.

Wee unazungumzia Ma Div One?? Kwa Elimu ya kibonge Kusoma na kukamia ili upate One ,wakusifie??.

Mwigulu ana ubora wa IQ kumshinda Dr Kimei??.

Mjinga Mmoja wewe !!.
Elon Mask analijuwa hili tatizo vizuri ndio maana amekuja na ukombozi wa akili bandia, maccm mengi ubongo umeoza.
 
Back
Top Bottom