Chadema kuna Kikundi ila CCM kuna Makundi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
81,410
136,024
Wengi wanadhani Komredi Makonda ana jambo lake na CHADEMA, hapana Mwenezi hana Shughuli yoyote na CHADEMA

Komredi Makonda ana Jukumu moja tu la kuhakikisha CCM chini ya Mwenyekiti Rais Dr Samia Suluhu Hassan inakuwa moja

CCM kuna Makundi na Chama kinaamini Umoja ni Ushindi so Makonda atayauwa Makundi Yote na kuibakiza CCM ikiwa Moja yenye Umoja

Mlale Unono 😀😀
 
Hata huku kwetu kuna makundi mawili kati ya mwenyekiti na makamu wake, japo chawa tumekatazwa kuyaongelea

Sasa japokuwa hatuyaongelei lkn nyinyi hata hizi picha hamuoni?
 

Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    109.8 KB · Views: 2
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 2
Makonda atayauwa Makundi Yote na kuibakiza CCM ikiwa Moja yenye Umoja
Angekuwa na nia ya kuyaua makundi asingekuwa anawazodoa wale wa anti sukuma gang.

Mzee Kinana amemwagikiwa na nyongo tangu makalio makubwa alipoteuliwa. Makalio makubwa amesikikika akiwabeza wastaafu kuwa wakae kimya . Mzee Kikwete akae kimya???!

Huyu makalio makubwa lkn ubongo wake ni mdogo kama uduvi
 
Ila Ile picha kwenye nyumba ya mwamba umekaa kinyonge sana.
Poleni sana kwa maumivu ya nyumba ya mtu aliyojenga kwa jasho lake na akili yake. Inawauma hiyo lakini zinapitishwa sheria za kula pesa za umma kinyonyaji kwa viongozi wenu mnakenua tuu meno kama ngiri mkichekelea.
Mmelogwa nyie? Yaani inawekwa sheria ya pension eti kuwalipa mafao wenza wa viongozi mnaona sawa wakati maelfu ya wazee wenu wanakabiliwa na kikokotoo hadi wanakufa kwa stress nyie sawa tuu!
Kweli mke wa kiongozi ambaye maisha yamemkubali bado aendelee kulipwa 60% ya kiongozi wa sasa aliyepo madarakani?
Hata nchi tajiri ujinga huu haupo ila hapa ambapo hilo haliwaumizi bali kinachowauma ni Mbowe kujenga kijijini kwake?
Upuuzi sana huu, na hakika umasikini ukiingia akilini dawa yake ni kukikata tuu hicho kichwa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom