Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu JF,

Greetings and I hope you are doing well.

Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema.

Pia soma >>>Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa wahanga wake

Kama ni Mchezo wa Soccer, haya unaweza kuyaita ni Mabadiliko ya Kiufundi, na CCM kama chama, wamekuwa na sababu zao za kufanya mabadiliko hayo kuendana na hali halisi ya ki Siasa kwa wakati huu, Details za sababu hizo sio maudhui ya uzi huu. Kumekuwa na maoni tofauti kuhusu mabadiliko haya, mimi naomba nijikite kwenye subject ya uzi huu.

CHADEMA kama chaka Kikuu cha upinzani, ni kama kimepewa Nafasi ya wazi kabisa ku shine na kufikisha sera zao kwa urahisi kabisa, ni kama wamepewa ajenda zaidi ya 10,000

Paul Makonda ni Mwepesi sana kwenye Siasa za ushindani wa wazi na hana ushawishi wa hoja, ni Mweupe sana, kipindi cha Raisi Magufuli alitokea kuwa Mtu mwenye Nguvu sababu ya Nguvu ya Dola aliyokuwa nayo, kama Mkuu wa Mkoa na Kama Right hand ya Rais John Magufuli dhidi ya wapinzani wake.

Kwa hulka ya Rais Samia, bado sishawishiki kuona Paul Makonda akipewa Mamlaka ya kutumia Vyombo vya dola, Mpaka kutumia Unit Maalum ya ulinzi wa Raisi (President Secuiryt Unit) kuvamia kituo cha Redio na Luninga na kutetewa na Rais.

Kuna Mambo mengi ya hovyo yalizungumzwa kumhusu Paul Makonda na uhusika wake wa kudhulumu haki za kuishi za watu, 3 1 Januari 2020, akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pia soma>>> Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ilimpiga Marufuku Ndugu Makonda Kuingia Marekani, marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Bi Mary Felix Massenge.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Makonda anashutumiwa kwa kushiriki katika ukandamizaji wa haki za binaadamu.

Kwa Mambo mengi ya hovyo aliyoyafanya Makonda, uteuzi wake bado unabaki kuwa ni kosa la Kiufundi kwa CCM, CHADEMA wana Nafasi kubwa ya kulitumia kosa hili kurahishisha ajenda zao za Ki Siasa
 
Shida ni mbili

Chadema haina sera kwa sasa, walitegemea bandari na hata sasa operation yao ni bandari, sasa suala la bandari limeisha itabidi waje upya na operation nyingine mana ile 255 waliyotembea nayo imezikwa kilazima,

Shida ya pili ni kuwa Makonda anaonekana ni mtu wa Sukuma Gang, kwa hio kwa watu wa JPM jamaa ni hero wao hivyo utaona jinsi ambavyo watu wa JPM watavyompokea sana kwa nguvu, so utaona bado anakuja kuleta shida kwa CHADEMA ambao wao walitegemea team JPM wawapende

Na tunakoenda usikute Polepole akarejeshwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 na hilo ndo litakuwa Pigo la mwisho kwa CHADEMA maana wanategemea mpasuko ndani ya CCM uwabebe
 
Madhara ya kulewa mbilimbi za kisiwa ndui! We Makonda humjui vizuri!

Tulia braza, ndo ashakuwa linakuuma sana, CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? Kaka yao Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson!
 
Wakuu JF,

Greetings and I hope you are doing well.

Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema.

Kama ni Mchezo wa Soccer, haya unaweza kuyaita ni Mabadiliko ya Kiufundi, na CCM kama chama, wamekuwa na sababu zao za kufanya mabadiliko hayo kuendana na hali halisi ya ki Siasa kwa wakati huu, Details za sababu hizo sio maudhui ya uzi huu. Kumekuwa na maoni tofauti kuhusu mabadiliko haya, mimi naomba nijikite kwenye subject ya uzi huu.

CHADEMA kama chaka Kikuu cha upinzani, ni kama kimepewa Nafasi ya wazi kabisa ku shine na kufikisha sera zao kwa urahisi kabisa, ni kama wamepewa ajenda zaidi ya 10,000

Paul Makonda ni Mwepesi sana kwenye Siasa za ushindani wa wazi na hana ushawishi wa hoja, ni Mweupe sana, kipindi cha Raisi Magufuli alitokea kuwa Mtu mwenye Nguvu sababu ya Nguvu ya Dola aliyokuwa nayo, kama Mkuu wa Mkoa na Kama Right hand ya Rais John Magufuli dhidi ya wapinzani wake.

Kwa hulka ya Rais Samia, bado sishawishiki kuona Paul Makonda akipewa Mamlaka ya kutumia Vyombo vya dola, Mpaka kutumia Unit Maalum ya ulinzi wa Raisi (President Secuiryt Unit) kuvamia kituo cha Redio na Luninga na kutetewa na Rais.

Kuna Mambo mengi ya hovyo yalizungumzwa kumhusu Paul Makonda na uhusika wake wa kudhulumu haki za kuishi za watu, 3 1 Januari 2020, akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ilimpiga Marufuku Ndugu Makonda Kuingia Marekani, marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Bi Mary Felix Massenge.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Makonda anashutumiwa kwa kushiriki katika ukandamizaji wa haki za binaadamu.

Kwa Mambo mengi ya hovyo aliyoyafanya Makonda, uteuzi wake bado unabaki kuwa ni kosa la Kiufundi kwa CCM, CHADEMA wana Nafasi kubwa ya kulitumia kosa hili kurahishisha ajenda zao za Ki Siasa
Kinachojulikana ni kuwakazia mashoga kama ndio hilo asiende marekani abaki chamwino na lumumba inatosha!
 
Madhara ya kulewa mbilimbi za kisiwa ndui! We Makonda humjui vizuri!

Tulia braza, ndo ashakuwa linakuuma sana, CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? Kaka yao Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson!
Kwa hiyo tutegemee kusikia tena taarifa za mauaji ya hapa na pale kama ilivyokuwa nyuma? Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru na janga hili!! Ukatuepushe na mikono miovu ya paul makonda na mashetani wengine walio upande wake,ukayape kibali maisha yetu,na utulindie pumzi za uhai wetu Amen!
 
Afu unatoka unaenda kula tunda au unatamani mapaja ya Mke wa mtu!

Wanadamu sjui huwa tukoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom