kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana.
Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa kama ule wa Richmond, Escrow, IPTL, Meremeta, nk wakati wowote kuanzia sasa ili watu wapate fedha za kugharamia kampeni zao.
Mungu awalaani na vizazi vyenu kama mtatuibia tena.