D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,902
- 1,067
Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza huduma za WI-FI kwenye shughuli zao za kila siku,Huduma hii inapatikana katika shirika la TTCL,Lakini cha kushangaza TTCL wamekuwa wavivu wa kuunganisha huduma hii kwa wateja wapya na pia hata wateja wale wa zamani wakipata changamoto yoyote kutatuliwa shida zao imekuwa ngumu sana.
TTCL Shiraka ambalo kama litafanya kazi kwa weledi na kwa kasi nzuri.litakuwa linaingiza fedha nyingi.
Mkoa wa RUVUMA hususani manispaa ya songea huduma hii inahitajika sehem nyingi sana,lakini unaweza kulipia gharama za kuungiwa huduma hiyo na utaipata baada ya miezi hadi 3.
Ukiuliza kwanini mnachelewa kuunganisha hii huduma ya Wi-fi unajibiwa vifaa hakuna.
Raisi samia chukua hatua zidi ya wafanyakazi wazembe kama hawa