Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama.
Huu ni muendelezo wa alichokizungumza jana Bungeni kuhusu usalama wa Taifa kuhusika na utekaji. Zaidi soma Bashe: Kuna kikundi ndani ya TISS kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa