TRA: Miaka 3 ya Rais Samia Makusanyo yameongezeka na kufikia shilingi trilioni 24.1, sawa na trilioni 2 kila mwezi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,825
TRA imesema Kwa takribani miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia, amewezesha TRA kuongeza mapato Kwa Asilimia 8.5% ambapo Kwa mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Makusanyo yamefikia Shilingi Trilioni 24.1 sawa na wastani wa Trilioni 2 Kila Mwezi kutoka wastani wa Shilingi Trilioni 1.2-1.5 Kwa mwezi mwaka 2020/2021.

Kufuatilia Ongezeko Hilo hakuna mradi uliosimama na maelfu ya miradi Kila sekta yameongezeka.

TRA imewashukuru walipa.kodi na kutoa wito watu Wadai risiti Ili mapato zaidi yapatikane.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1706693471497572437?t=iNU8izB5_W1jkUQc0_eENw&s=19

My Take
Ongezeko la wastani wa bil.800 Kwa miaka 3 sio jambo rahisi hapo ni kutokana na sera rafiki Kwa Biashara na uwekezaji alizoshadidia mh.Rais.

Ni wazi hasi kufikia 2025 TRA watakuwa wanakusnaya wastani wa 2.5 Kwa mwezi sawa na Ongezeko la Trilioni 1 ,hii ni rekodi ambayo hakuna Rais kabla aliwahi ifikia na hapo miradi mikubwa itakuwa Bado haijaanza Kuzalisha pes.

Huna Rais anaweza mfikia Samia kwenye swala la Uchumi.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1709141930062331946?t=VN_IDgghWM0f_eDeHtpquw&s=19
 
Mimi nisingejali hata kama makusanyo yangeshuka mpaka sifuri lakini maisha ya Mtanzania Average Kitaa yakawa rafiki..., Sasa kitaa hakuna Nishati; Mfumuko wa Bei kila Kitu Bei Juu, Viongozi hawaeleweki zaidi ya kuwa vinara wa Excuses na Propaganda..., Yaani hii Awamu naweza kusema ni Awamu ya GIZA
 
Kitaa Hali ingekuwa mbaya uchumi usingekuwa unakua, Serikali na private sector isingekuwa inaajiri Kwa hiyo punguza ujinga
 
Hivi unaelewa hata unachokizungumzia ? Kwahio kwa akili zako hakuna tatizo la Ajira ? (Hapo kwanza nisiongelee mfumuko wa Bei wala hii Crisis ya Umeme ambayo hata Rais jana ameisema) Yaani amekiri wameshindwa kutatua
 
Kuwepo na tatizo haimaanishi Hali ni mbaya ,Kuna Nchi Dunia hii haiana tatizo la Ajira?

Kuna Rais ameajiria watu wengi kama Samia hapa Tanzania? Unasumbuliwa na chuki binafsi
 
TRA imesema Kwa takribani miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia, amewezesha TRA kuongeza mapato Kwa Asilimia 8.5% ambapo Kwa mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Makusanyo yamefikia Shilingi Trilioni 24.1 sawa na wastani wa Trilioni 2 Kila Mwezi kutoka wastani wa Shilingi Trilioni 1.2-1.5 Kwa mwezi mwaka 2020/2021.

Kufuatilia Ongezeko Hilo hakuna mradi uliosimama na maelfu ya miradi Kila sekta yameongezeka.

TRA imewashukuru walipa.kodi na kutoa wito watu Wadai risiti Ili mapato zaidi yapatikane.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1706693471497572437?t=iNU8izB5_W1jkUQc0_eENw&s=19

My Take
Ongezeko la wastani wa bil.800 Kwa miaka 3 sio jambo rahisi hapo ni kutokana na sera rafiki Kwa Biashara na uwekezaji alizoshadidia mh.Rais.

Ni wazi hasi kufikia 2025 TRA watakuwa wanakusnaya wastani wa 2.5 Kwa mwezi sawa na Ongezeko la Trilioni 1 ,hii ni rekodi ambayo hakuna Rais kabla aliwahi ifikia na hapo miradi mikubwa itakuwa Bado haijaanza Kuzalisha pes.

Huna Rais anaweza mfikia Samia kwenye swala la Uchumi.

View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1706675117433008279?t=mOmw6sqZfRd-hm875NRnhw&s=19

TEC watafula kwa hasira Na chuki,
 
Back
Top Bottom