Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mimi Leo nilikuwa sitaki kusema, lakini ngoja tu niseme, nimetishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, aliniambia nyie wabunge ni wanafiki na nitawashughulikia na nitaanza na wewe, mimi leo Dar naiogopa.
Niko tayari kuhojiwa hapa nimelisema hapa kwa usalama wangu. Alinitisha mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pale Colosseum Hotel.
Niko tayari kuhojiwa hapa nimelisema hapa kwa usalama wangu. Alinitisha mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pale Colosseum Hotel.