Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna...
Habari wana jamvi,
Hazina mna utaratibu wenu wa kutoa mikopo kwa Watumishi wa halmashauri zilizopo pembezoni kitu ambacho ni kizuri.
Utaratibu wa kuomba mwanzoni ulikuwa ni kupitia halmashauri...
Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.
Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham ameliomba jeshi la Polisi wilayani humo kuacha kuwaonea wananchi jamii ya wakulima pindi wanapopeleka kesi za wafugaji kulisha...
Ni hayo maswali mawili tu;
Kwanini kila Mwananchi mwenye matatizo anamkimbilia Makonda? Kabla yake hapakuwepo watu wenye moyo wa kusikiliza shida za Wananchi?
Kwanini CHADEMA wamesitisha...
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa...
1. KIKWETE NI NANI
(I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU
Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni...
Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi...
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya...
Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa...
Rais wa Romania Mhe. Klaus lohannis amewasili Zanzibar kwa ziara ya siku moja katika mwendelezo wa ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt...
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio...
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita...
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO
Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu
Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina...
Serikali ingewapigia kelele mapema Hamas kuwa waachie Watanzania waliowateka wangewaachia kwa kuogopa kuharibika uhusiano kati ya Tanzania na Palestina
Kwa kweli ukimua wa serikali kwa Hamas...
Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya...
NA HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA YA RUFAA KATIKA KESI YA LENGAI OLE SABAYA.
Well,Kwanza Nitangulize Kusema kwamba Mahakama hii ya Rufaa ndio Mahakama ya Mwisho Kabisa katika Ngazi ya Maamuzi ya...
Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.