Sabaya amemaliza lini kifungo cha miaka 30 jela?

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,056
8,719
Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja.

Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi.

Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya alishahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kesi ya unyang'anyi na matumizi ya silaha,akiwa sambamba na walinzi wake watatu,je ukumu ile ambayo alikua anaitumikia gerezani pale Kisongo,nani kaitengua?

Mfungwa aliehukumiwa miaka 30 gerezani,imekuaje anatoka mchana kweupe na kuachiwa huru kama shujaa kwenye kesi tofauti kabisa na ya kifungo aanachotumikia?

Rais Samia hii kesi ya Sabaya moja ya hukumu ya hovyo sana na itakuchakuchafua sana mbele ya wapenda haki. Kesi za Sabaya ni tofauti kabisa na kesi za kina Mbowe, Lema, Lissu na wenzao maana zile wazi walibambikwa lakini pia zilikua hazijatolewa hukumu.

Sabaya alimaliza lini kifungo cha miaka 30 hadi leo arudi uraiani?

Hiyo hukumu ya miaka 30 jela aliikatia rufaa mahakama kuu na akashinda ila aliendelea kuwa ndani kwa sababu ya kesi iliyofikia tamati leo, mahakama kuu ilishamuachia huru kwenye kutoka hicho kifungo cha miaka 30
 
Screenshot_20230405-220417.png
 
Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja.

Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi.

Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya alishahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kesi ya unyang'anyi na matumizi ya silaha,akiwa sambamba na walinzi wake watatu,je ukumu ile ambayo alikua anaitumikia gerezani pale Kisongo,nani kaitengua?

Mfungwa aliehukumiwa miaka 30 gerezani,imekuaje anatoka mchana kweupe na kuachiwa huru kama shujaa kwenye kesi tofauti kabisa na ya kifungo aanachotumikia?

Rais Samia hii kesi ya Sabaya moja ya hukumu ya hovyo sana na itakuchakuchafua sana mbele ya wapenda haki. Kesi za Sabaya ni tofauti kabisa na kesi za kina Mbowe, Lema, Lissu na wenzao maana zile wazi walibambikwa lakini pia zilikua hazijatolewa hukumu.

Sabaya alimaliza lini kifungo cha miaka 30 hadi leo arudi uraiani?

Alikata rufaa ikatupiliwa mbali kisha wakaachiliwa huru hadi mabenyenye wenye visasi walipoenda tena kumhonga mtumishi wa serikali ili aifufue kesi kwa kukata rufaa ambayo pia imetupiliwa mbali.

Genge lililokuwa limejichimbia HAI kwa kuendesha biashara haramu ambayo walifanya kwa ubia na kiongozi mmoja aliyewahi kutuhumiwa ugaidi wameona hatima yao ni mbovu ndio maana wanahaha kila kukicha.

Hatua inayofuata ataingia kwenye uongozi halafu kila mmoja aliyehusika kwa namna moja au nyingine kufanya persecution dhidi ya Ole Sabaya watatafuta tundu finyu la kutokea kwenye giza totoro.
 
Back
Top Bottom