Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wachezaji wa Karume Boys katika hafla ya chakula cha mchana na kuwapongeza kwa kuchukua kombe la CECAFA...
1 Reactions
3 Replies
717 Views
Baada ya kumaliza kuangalia UFC 244 jana usiku, Masvidal vs Diaz for the BMF belt, nikahamia DAZN kuangalia Canelo Alvarez vs Sergei Kovalev. Hakika jana Jumamosi ya jana ilikuwa siku bomba sana...
15 Reactions
170 Replies
11K Views
Ndugu zangu habari. Naleta kwenu mada hii kufuatia takwimu mbalimbali zinazoonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa Sana la watu Kanda ya ziwa hususani Mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Shinyanga na...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA. Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja...
11 Reactions
99 Replies
6K Views
Nimekuta mijadala huko X watu wakimjadili Sabaya kuwa naye anapaswa kupewa kazi ili kuinusuru CCM kama mwenzake Makonda ilivyo tokea. Ila katika pitapita yangu mitandaoni nimegundua kumbe Sabaya...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili. Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson...
1 Reactions
1 Replies
630 Views
Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango Chama cha Wanataaluma Wakristo...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza ilitoka wiki iliyopita, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza. yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa...
2 Reactions
5 Replies
704 Views
Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje matembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma-allowance za wabunge na mawaziri ili...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwanasheria msomi na mkongwe Fatma Karume na aliyewahi kuwa Rais wa TLS, hatimaye atangaza kustaafu uwakili. Fatma Karume amekuwa wakili wa Mahakama kuu na mahakama zilizo chini yake isipokuwa...
16 Reactions
106 Replies
12K Views
Mwanaharakati Cyprian Musiba ametakiwa kufika mahakamani Vuga, Zanzibar, Oktoba 3, 2019 kwa ajili ya kutajwa kwa kesi (Namba 39 ya mwaka 2019) iliyofunguliwa na Wakili Fatma Karume dhidi yake.
13 Reactions
150 Replies
24K Views
======= "Kwa nyote mnaoniuliza kama wamenirejeshea uwakili: JIBU NI: HAPANA! Hukumu ya Feleshi kuniSUSPEND bado ipo IMARA japo kuwa: 1. kaniSUSPEND bila ya kunipa HAKI ya kujitetea. Tangu 2019...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ameandika Shangazi Fatma Karume kwenye ukurasa wake wa Twitter: "Kilangi kawapeleka Jebra Kambole na Edson Kilatu mbele ya Kamati ya Maadili ili na wao WAVULIWE UWAKILI na majina yao yafutwe...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Hongera Fatma,msema kweli mpenzi wa Mungu. Makonda alichongwa na Kikwete,Magufuli ni mrithi tu. Kikwete siyo kwamba aliwafukuza wazee kwenye kamati kuu.Pia aliwafukuza wasomi ,aliwatoa kwa...
12 Reactions
93 Replies
12K Views
Taarifa kwa Umma ufafanuzi wa TLS juu ya kufutwa Uwakili kwa Wakili Fatma Karume
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom