Masuria wa Viongozi nao walipwe ili kuwatia moyo

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,159
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.

Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo pia watoto wa hao wakubwa nao wawe wanalipwa mishahara .

Sasa ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa Masuria, Concubines au Nyumba Ndogo za Hawa viongozi. (Sitaki kuwaita vimada)

Hawa nao ni watu muhimu sana katika maisha ya viongozi wetu. Viongozi wetu wanapokua wamekwazana na wenza wao nyumba kuu basi hawa huchukua jukumu la kuwaliwaza.

Yaan maisha ya viongozi wetu tunawaona hawana stress za nyumbani sababu ya uwepo wa Hawa vimada, nashauri nao pia walipwe mishahara. Wengi wao sababu ya kujihusisha na maisha ya hawa viongozi wakubwa unakuta wanashindwa hata kufanya shughuli zingine za kiuchumi kwao.

Hawa Masuria wakiwa na furaha itasababisha wawatunze vizuri viongozi wetu hivyo nchi itasonga mbele Kwa kasi kubwa. Sababu viongozi wetu watafanya kazi bila stress kwani nyumba kubwa kukiwa na tatizo basi masuria hawa husawazisha hali.

Tunaweza tukaona tunaongeza gharama lakini ni heri hivyo kuliko tusiwalipe halafu viongozi wetu washindwe kufanya kazi Kwa utulivu. Kuna maamuzi pengine tunayaona ya ajabu kumbe mtu usiku aligombana na mkewe.

Iwepo kamati ya siri ya kuwasajili Hawa sababu wengine (wengi wao) watakua wako Kwa siri hawajulikani kwenye nyumba kubwa. So isije ikaleta mtafaruku.

Yangu ni hayo tu.
 
Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri pia watoto wa hao wakubwa nao wawe wanalipwa mishahara .

Ngoja waje wenye masuria huku ngazi ya chini pamoja na masuria wenyewe watupatie maoni yao.
 
Hili lifanyike mapema Sana ili kudumisha utulivu wa nchi.
 
Naunga mkono kwa vile Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno basi wapewe tu. Kusema kweli tumechelewa sana kufanya hivyo ndiyo maana nchi imebaki kuwa masikini
 
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.

Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri pia watoto wa hao wakubwa nao wawe wanalipwa mishahara .

Sasa ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa Masuria, Concubines au Nyumba Ndogo za Hawa viongozi. (Sitaki kuwaita vimada)

Hawa nao ni watu muhimu sana katika maisha ya viongozi wetu. Viongozi wetu wanapokua wamekwazana na wenza wao nyumba kuu basi hawa huchukua jukumu la kuwaliwaza.

Yaan maisha ya viongozi wetu tunawaona hawana stress za nyumbani sababu ya uwepo wa Hawa vimada, nashauri nao pia walipwe mishahara. Wengi wao sababu ya kujihusisha na maisha ya hawa viongozi wakubwa unakuta wanashindwa hata kufanya shughuli zingine za kiuchumi kwao.

Hawa Masuria wakiwa na furaha itasababisha wawatunze vizuri viongozi wetu hivyo nchi itasonga mbele Kwa kasi kubwa. Sababu viongozi wetu watafanya kazi bila stress kwani nyumba kubwa kukiwa na tatizo basi masuria hawa husawazisha hali.

Tunaweza tukaona tunaongeza gharama lakini ni heri hivyo kuliko tusiwalipe halafu viongozi wetu washindwe kufanya kazi Kwa utulivu. Kuna maamuzi pengine tunayaona ya ajabu kumbe mtu usiku aligombana na mkewe.

Iwepo kamati ya siri ya kuwasajili Hawa sababu wengine (wengi wao) watakua wako Kwa siri hawajulikani kwenye nyumba kubwa. So isije ikaleta mtafaruku.

Yangu ni hayo tu.

Ni maoni yako mkuu.
Ngoja tumalizie la watoto kwanza. Kisha tutaangalia wanufaika wengine
 
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.

Sasa ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa Masuria, Concubines au Nyumba Ndogo za Hawa viongozi. (Sitaki kuwaita vimada)

Hawa nao ni watu muhimu sana katika maisha ya viongozi wetu. Viongozi wetu wanapokua wamekwazana na wenza wao nyumba kuu basi hawa huchukua jukumu la kuwaliwaza.
Naunga mkono hoja ila hawa concubines walipwe sio kwa ajili ya maendeleo, bali walipwe kama fidia, compensation kufidia kupoteza fursa za kuolewa kwasababu ya kuwa liwazo la moyo wa viongozi wetu!.
P
 
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.

Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo pia watoto wa hao wakubwa nao wawe wanalipwa mishahara .

Sasa ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa Masuria, Concubines au Nyumba Ndogo za Hawa viongozi. (Sitaki kuwaita vimada)

Hawa nao ni watu muhimu sana katika maisha ya viongozi wetu. Viongozi wetu wanapokua wamekwazana na wenza wao nyumba kuu basi hawa huchukua jukumu la kuwaliwaza.

Yaan maisha ya viongozi wetu tunawaona hawana stress za nyumbani sababu ya uwepo wa Hawa vimada, nashauri nao pia walipwe mishahara. Wengi wao sababu ya kujihusisha na maisha ya hawa viongozi wakubwa unakuta wanashindwa hata kufanya shughuli zingine za kiuchumi kwao.

Hawa Masuria wakiwa na furaha itasababisha wawatunze vizuri viongozi wetu hivyo nchi itasonga mbele Kwa kasi kubwa. Sababu viongozi wetu watafanya kazi bila stress kwani nyumba kubwa kukiwa na tatizo basi masuria hawa husawazisha hali.

Tunaweza tukaona tunaongeza gharama lakini ni heri hivyo kuliko tusiwalipe halafu viongozi wetu washindwe kufanya kazi Kwa utulivu. Kuna maamuzi pengine tunayaona ya ajabu kumbe mtu usiku aligombana na mkewe.

Iwepo kamati ya siri ya kuwasajili Hawa sababu wengine (wengi wao) watakua wako Kwa siri hawajulikani kwenye nyumba kubwa. So isije ikaleta mtafaruku.

Yangu ni hayo tu.
Ipite bila kupingwa
 
Naunga mkono masuria walipwe. Wakishalipwa tuanze kuangalia Ben ten nao walipwe. Maana nchi ina pesa mpaka basi hazina pa kwenda.
 
Na sie majirani zao tupatiwe posho ya ujirani ili wanapokuwa wanatutembelea majirani angalau watukute maisha yetu ambo ambo kama wao! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom