Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendeleza mbio za kuongeza motisha kwa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambapo kuelekea mechi ya Stars dhidi ya Morocco...
Hatimaye mmiliki wa kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd ndugu Said Lugumi ameibuka kutoka mafichoni na kuonya kuwa siyo kila jipu linatumbuliwa.
Aidha bwana Lugumi amewahasa watanzania waache...
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Meza ya siasa na uongozi
Somo lililopo mezani je, ni mambo gani Singapore, U.S.A na China wanatufundisha sisi nchi iliyo poteza dira ?
Kwangu mimi kama tukitaka kujifunza Vyama bora vya siasa...
Mazee mpo? Naenda kwenye hoja.
Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi.
Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa...
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.
Nakumbuka mara ya mwisho...
Askofu Ngonyani wa BCIC amesema wakati Israel anatangaza Uhuru Yerusalemu ilikuwa chini ya Jordan na eneo ilipo Israel ilikuwa chini ya Uingereza.
West Bank na Yerusalemu zilikuwa chini ya Jordan...
Watanzania tumegawanyika makundi mawili
1. Wale wanaonufaika na mfumo
2. Na wale wasionufaika na mfumo
Hawa wa kundi la kwanza wanafurahia sana serikali ambayo inaendekeza rushwa na matumizi...
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yanapofanyika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu “Elimu...
Ndg. Zitto kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo akiongea na wananchi wa Kagerankanda, Kasulu vijijini amedai kuwa walimwekea mtego wa rushwa afisa wa Wakala wa Misitu Tanzania
Katika msitu wa...
Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini.
Wanaiongoza nchi kwa umahiri...
Sokoine alipambana na Rushwa kwa Falsafa ya Wahujumu Uchumi, hakufanikiwa
Mwinyi akaja na Rukhsa akiamini Watu watajiheshimu, aah wapi
Mkapa akaja na Takukuru na baadae Takukuru
JK akaingia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akutana na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Bunge wa India Mhe. Vellamvelly Muraleedharan na ujumbe...
✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.