Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA, mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes, lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.
 
"Muungwana akivuliwa Nguo hasimami huchutama"

Hakuna Hata mmoja aliye sawa muda wote, unataka asikosolewe ili iweje?
Hivi ndo tulichowapeleka kusoma na kumaliza kuku, mbuzi na Mifugo yetu na mashamba mje kutetea Ujinga?
Ukimaliza kuandika hapa huwa unarudia kusoma ulichoandika?

Mungu ibariki Tanzania...

Mungu mbariki baba wa Taifa aliko alitabiri kweli kuwa Tuna tatzo la "UJINGA,UMASKINI NA MARADHI"
 
Jana siku ya jumatatu tarehe 21/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA,

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA ,mashambulizi yalikuwa makali sana .
Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana,

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes,lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisias

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.
CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu tu
Weka kideo acha umbeya
 
Narudia
Huo mtazamo wako ni wa kipuuzi
 
Na wewe nenda Tbc kamshambulie Kama alivyowashambulua mabwana zako!.
Jana siku ya jumatatu tarehe 21/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA ,mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes,lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu tu.
 
Njaa mbaya Sana
 
Da Esther kausha basi
 
Wacha wauane, CCM imelitendea mabaya sana nchi yetu na watu wake
 
Back
Top Bottom