Fatma Karume: Bado sijarejeshewa Uwakili

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,280
Fatma Karume.PNG


=======

"Kwa nyote mnaoniuliza kama wamenirejeshea uwakili:
JIBU NI:
HAPANA!
Hukumu ya Feleshi kuniSUSPEND bado ipo IMARA japo kuwa:
1. kaniSUSPEND bila ya kunipa HAKI ya kujitetea.
Tangu 2019;
2. Suspension ilikuwa temporary na Hakuna temporary order inayodumu zaidi ya miezi 6!
2019, nilimuomba Ibrahim Juma CJ aipange Rufaa yangu dhidi ya hukumu ya Feleshi isikilizwe kwa hati ya dharura. Akasema HAPANA.
HITIMISHO:
Mahakama Kuu imesema maamuzi ya Advocate’s Committee ni BATILI na Kilangi hajapaswa kunishtaki.
Lakini maamuzi ya Feleshi yako HAI"

Fatma Karume
 
The biggest problem in this country is that the judiciary is under the tight control of the executive and it's functioning just like the extended arm of the executive.
On top of that you shouldn't forget a bunch of lunatics who were cheering the despotic regime
 
Itarejeshwa tu anaelekea kushinda hiyo vita, kuwa mvumilivu wakati mwingine kunaleta heshima sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom