Kumbe Sabaya pamoja na kushinda Rufaa bado yuko kifungoni mwaka 1 kesi ya Kilimanjaro

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,220
Nimekuta mijadala huko X watu wakimjadili Sabaya kuwa naye anapaswa kupewa kazi ili kuinusuru CCM kama mwenzake Makonda ilivyo tokea.

Ila katika pitapita yangu mitandaoni nimegundua kumbe Sabaya yuko kifungoni hadi sasa baada ya kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja (kifungo cha nje) na masharti mengine baada ya kukiri kosa katika mfumo wa plea bargain.

Kwa maana hiyo kifungo hicho cha mwaka mmoja kwa makosa ya jinai kinamnyima nafasi ya utumishi wa umma sasa na hata baadae kulingana na sheria zetu.

Au kwa vile ni CCM hakuna anayejali?

======

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Moshi mkoani Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha nje cha mwaka mmoja aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, baada ya kukiri kosa kwa utaratibu wa ‘plea bargaining’ katika kesi namba 32 ya mwaka 2023.

Makosa hayo ni kuvamia madaraka yasiyo yake na kula njama na kuzuia haki kutendeka baada ya kufanya upekuzi kwa mfanyabiashara mmoja aliyeko Hai mkoani Kilimanjaro.

Sabaya alibakia kwenye kesi namba 2 ya mwaka 2022 baada ya wenzake Sylvester Nyegu, Nathan Msuya, John Aweyo na Antero Asey ambao waliachiwa Septemba 7 mwaka 2022 baada ya kufanya ‘plea bargaining’ na Mwendesha Mashatka wa Serikali.

Tangu kesi hiyo kuanza kwake haikuwahi kusikilizwa kutokana na sababu mbalimbali za kisheria, ikiwamo mahakama kukosa uwezo wa kusikiliza, hakimu kuwa na kazi nyingine nje ya kituo chake cha kazi na kutokamilika kwa upelelezi.

Kesi hiyo iliyofunguliwa na DPP ilisikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Salome Mshasha, ambayo jana ilikuwa kuweka nyaraka pamoja na kusomewa maelezo ya awali.

Lakini upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Verediana Mlenza akisaidiwa na Sabitina Mcharo, ulidai kuwa wamepokea barua kutoka kwa mshtakiwa akiomba makubaliano nje ya mahakama na DPP.

Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa mshtakiwa huyo alifanya upekuzi kwa mfanyabiashara mmoja wilayani Hai.
Akisomewa maelezo ya kosa, alidai Januari 19 hadi Machi 30, 2021 kwa nyakati tofauti, Sabaya na wenzake (hawakuwapo mahakamani) katika maeneo ya Kilimanjaro na Arusha, alitumia mamlaka yake vibaya akiwa Mkuu wa Wilaya kumvamia mfanyabiashara, Alex Swai.

Alidai alichukua zaidi ya Sh. milioni 15, kishikwambi, saa na mkufu wa dhahabu na kuagiza mkewe (Gema Maro), Oldasipha Massawe (Mama wa Alex) na Upendo Swai (Dada wa Massawe) kuwekwa katika kituo cha polisi Bomang’ombe.

“January 23, 2021, Sabaya alidaiwa kuagiza Godbless Swai (Kaka wa Swai) apelekwe kwenye nyumba ya mkuu wa wilaya na kumtaka atoe Sh. milioni 50 ili kumsaidia nduguye Alex Swai asipelekwe mahakamani kwa kosa la kukwepa kodi huku wenzake wakijifanya maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Usalama wa Taifa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kwamba fedha hizo zililipwa kwa awamu tatu.
Ilidaiwa kuwa fedha hizo zililipwa Januari 23, Februari 3 na 9 na kwamba Februari 24,2021, familia hiyo iliachiwa na kurejea nyumbani na kisha kuripoti TAKUKURU.

Upande wa utetezi ukiongozwa na Moses Mahuna, Helena Mahuna na Faudhia Mustapher, uliomba mahakama hiyo kumwonea huruma mteja wao na kuongeza kuwa ni kosa lake na kwanza na wazazi mtoto wanamtegemea.

Akitoa hukumu, Mshasha alisema mahakama kwa kuzingatia maelezo ya pande zote mbili, imemtia hatiani chini ya kifungu namba 38 cha Sheria ya Makosa ya Adhabu kifungo cha nje cha mwaka mmoja, bila kukutwa na kosa lolote la jinai.

“Umehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje bila kufanya makosa yoyote ya kijinai. Unaweza kukata rufaa (rufani) kama haujaridhika na adhabu, ingawa sitegemei kuwa utatenda kosa ikizingatiwa kuwa umekaa muda mrefu gerezani,”alisema.

Sabaya amesota magereza kwa siku takribani 660 bila dhamana akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na utatatishaji wa fedha.
 
Akipata madaraka mtu yoyote ambae anaiva na sabaya atampa yu madaraka, bongo sheria zimeoindishwa mara ngapi ndio iwe kwa sabaya.

Labda sio miogozi ya nchi hii
 
Nimekuta mijadala huko X watu wakimjadili Sabaya kuwa naye anapaswa kupewa kazi ili kuinusuru CCM kama mwenzake Makonda ilivyo tokea.

Ila katika pitapita yangu mitandaoni nimegundua kumbe Sabaya yuko kifungoni hadi sasa baada ya kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja (kifungo cha nje) na masharti mengine baada ya kukiri kosa katika mfumo wa plea bargain.

Kwa maana hiyo kifungo hicho cha mwaka mmoja kwa makosa ya jinai kinamnyima nafasi ya utumishi wa umma sasa na hata baadae kulingana na sheria zetu.

Au kwa vile ni CCM hakuna anayejali?
mnateseka Sana
 
mnateseka Sana
Shida yako imeanzia hapa!
20231116_044137.jpg
 
Endelea kujifariji
 
Piga ua ya wamangi waliyokua wamemkamia akaona cha kufia nini. Hata hiyo kesi ya moshi hakua na makosa sema hawa wenye kuamini fanya lolote hata kama ni uhalifu mradi mkono uende kinywani wangeweza hata kumpoteza. Hasira yao kubwa ni pamoja na kumbana mangi mbowe kwenye kile alijiaminisha ni himaya yake.
 
"Akitoa hukumu, Mshasha alisema mahakama kwa kuzingatia maelezo ya pande zote mbili, imemtia hatiani chini ya kifungu namba 38 cha Sheria ya Makosa ya Adhabu kifungo cha nje cha mwaka mmoja, bila kukutwa na kosa lolote la jinai".

Kama kwenye hukumu Kuna maneno "BILA KUKUTWA NA KOSA LOLOTE LA JINAI" hapo keishachomoka. Baada ya kifungo, uteuzi huo. Waulize Kaka Pascal Mayalla au Petro E. Mselewa.
 
Back
Top Bottom