Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, Shalom! CDM na CCM hoyee! Twende haraka kwenye mada. HOJA ya swali hapo juu ni kutaka kujadili madhara na faida za kuingiza siasa michezoni. Tumeona hivi sasa imeibuka TABIA ngeni...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini za leo, nimepata barua ikiniomba kutoa maelezo dhidi ya tuhuma ya kuanzisha mazungumzo pembeni wakati mkuu wa mkoa akitoa hotuba, kiukweli sikuwa mimi, walio kuwa nyuma yangu ndio...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia vikao vyao na matamko yao. Jamaa wapo vizuri hawana unafiki wa kujikomba kwa watawala na hawana uoga wala unafiki. Binafsi nawapongeza sana kwa kuwa wasemaji wa wananchi...
21 Reactions
86 Replies
7K Views
Wanabodi, Baada ya mahojiano ya jana ya mtu kukwepa kuzungumzia suala la kufoji vyeti vya elimu, kuna watu wanaliona hili ni jambo dogo, hivyo kujitokeza kule, kumelimaliza rasmi, no its not...
109 Reactions
386 Replies
39K Views
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AWANUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA KWA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI. SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni kufuatia kauli yako uliyoitoa hivi karibuni juu ya walimu ya kukatwa kwenye mishahara Yao na vyama viwili vya wafanykazi. Tangu mwaka 2014 vianze kusajiliwa vyama vingine vya walimu mbali...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Wadau CCM ya Magufuli oyee Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 chini ya Mwenyekiti Magufuli aliwahi kulitangazia Taifa na Dunia kuwa Kuna MAJIZI yamepora MALI za CCM na kwamba Atapambana nao na...
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Rais Magufuli amesema haiwezekani CCM ikatoa mwongozo au kuiwajibisha serikali yake kuhusu rushwa na ufisadi wakati CCM haifanyi hivyo ndani yake. Rais ameyasema hayo mbele ya wananchi na...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8. Frankly...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
MKUTANO wa hadhara upo Geita. Mhitubiaji mkuu ni Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda. Mara, Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa...
4 Reactions
146 Replies
6K Views
Ukiingia katika tovuti ya Benki ya Dunia utaona Serikali ya Tanzania tarehe 22 September 2022 iliwasilisha na kuomba pesa ya mradi wa Mto msimbazi. Mradi huo Benki ya Dunia (World Bank)...
30 Reactions
82 Replies
5K Views
Salamu Naomba kujua ikiwa wabunge wakatwa pay as you earn (PAYE) Naomba kujua kama wabunge wanachangia mifuko ya NSSF(national social security fund) Naomba kujua wabunge wanachukua hizo fedha...
1 Reactions
1 Replies
529 Views
DKT. DUGANGE AMSHUKURU RAIS KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA ZAHANATI YA MASAULWA NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt Festo Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Serikali ilianzisha utaratibu wa vijana kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) pamoja na malengo mengine ilikuwa kuwajengea vijana moyo wa uzalendo na kuipenda nchi yao na kuwa vijana wa...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao. Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa...
78 Reactions
193 Replies
13K Views
Kwa wale wahenga, Kipo kitabu flani cha fasihi cha zamani sikumbuki mtunzi,ila imani yangu kilitungwa A,kusini . Katika hadithi hiyo aliongelewa shujaa na jasiri mmoja aliitwa Umsolopa Gazi...
14 Reactions
71 Replies
10K Views
Kuna hizi tetesi kwamba Balozi Polepole na Mkulima Salum Happi wanaitwa kuimarisha safu ya juu ya Uongozi wa CCM wakiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti mtarajiwa Dr. Nchimbi. Je, CCM itaimarika kama...
21 Reactions
92 Replies
7K Views
Back
Top Bottom