Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

jembe2015

Senior Member
Sep 21, 2014
118
71
IMG-20170326-WA0056.jpg
Hongera Fatma,msema kweli mpenzi wa Mungu.

Makonda alichongwa na Kikwete,Magufuli ni mrithi tu.

Kikwete siyo kwamba aliwafukuza wazee kwenye kamati kuu.Pia aliwafukuza wasomi ,aliwatoa kwa kisingizio cha ufisadi akina Chenge,Rostam na mama Tibaijuka na wengine walioonekana wanamawazo pevu .Hivi kama ufisadi kuna fisadi zaidi ya Kikwete?

Rais Kikwete huyo huyo bila aibu akawalinda wezi halisi wa ESCROW kupitia Benki ya STANBIC.

Niwazi alikua hataki mtu yeyote mwenye uwezo na ujasiri wa kufikiri na kushauri kuwa karibu naye.

Paul Makonda alichongwa na Rais Kikwete mwenyewe akiwa Rais.Mnakumbuka alipo mpiga jaji Warioba ,Kikwete akazawadia zawadi ya ukuu wa wilaya Kinondoni.Laana iyo inatosha kumtoa Kikwete na vijana wake kupitia Rais Magufuli.
 
Hongera Fatma,msema kweli mpenzi wa Mungu.

Makonda alichongwa na Kikwete,Magufuli ni mrithi tu.

Kikwete siyo kwamba aliwafukuza wazee kwenye kamati kuu.Pia aliwafukuza wasomi ,aliwatoa kwa kisingizio cha ufisadi akina Chenge,Rostam na mama Tibaijuka na wengine walioonekana wanamawazo pevu .Hivi kama ufisadi kuna fisadi zaidi ya Kikwete??

It is a pity kuwa wema hawadumu bali mashetani ndiyo yanadumu!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
 
Mambo aliyoandika ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Heeee!!!!!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Mawazo mgando ;yeye anaishi bara na inawezekana amejenga huku bara ni mtanzania yule
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Wewe Mwana TANU umefufuka lini siku hizi inaitwa CCM toka 1977 waliungana na ASP kwa hiyo chama ni cha Tanzania
 
Kutenda kosa kwa kuwa mtangulizi wako naye alitenda kosa hakuhalalishi kosa lako kutokuwa kosa! Ni vyema tu ukweli ukasemwa kwamba Ngosha anaendesha nchi kwa namna yake anayoijua mwenyewena kwamba amekosa diplomasia na maono!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
sasa umeandika nini? si bora ungeandika Tanganyika
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Mkuu unatumia viroba vya nchi gan naona unajipakaza mavi usoni kwa ujinga huu
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Ukweli huwa unauma huo ndio ukweli wenyewe
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Vibora unavyotumia sio vya nchi hii!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom